Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu

Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga Clement Sanga ajiuzulu

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Posts
23,718
Reaction score
66,267
Makamu Mwenyekiti wa klabu ya soka ya Yanga Clement Sanga, hatimaye amejiuzulu nafasi yake baada ya baadhi ya wanachama na mashabiki kuhamasishana kwa nia ya kutaka kwenda nyumbani kwake na mapanga kwa ajili ya kumdhuru.
IMG_20180723_125148_103.jpg
View attachment 816414
 
Nadhani sasa ni muda muafaka wa kumkabidhi Timu Mzee Akilimali tuone Maajabu yake..,
 
Walichokitaka kimefanyika sasa hao mashabiki. Tusubiri yatakayojiri baada ya hapo
 
Hivi tatizo Sanga au Ukame pale Jangwani?
 
Hivi tatizo Sanga au Ukame pale Jangwani?
Sanga yeye kama kiongozi wa taasisi kwa miaka mingi why klabu haina pesa ?

Mfano Leo hii nssf isiwe na pesa tatizo itakuwa ukame au uzembe na upumbavu wa mkurugenzi?
 
timu akabidhiwe tarimba, matajiri wachangie kwa muda kuiendesha timu
 
Back
Top Bottom