Kwani tumeanza kuaminishwa kuanzia lini kwamba nchi hii haina corona? Na kwa umasikini wako wa Akili unadhani masikini ni mtu wa aina gani?Maalimu Seif akikuwa masikini?
Kwani chama chake cha ACT kilikubali kwamba corona haipo?
Je, wakati anazunguka kupiga kampeni alikuwa anachukua tahadhali yeyote?
Kifo cha Seif kimeniuma sana,sijui kulikuwa na ulazima gani wa yeye kwenda Mwanza then Chato. Huko ndo akaambukizwa,ukizingatia na age yake na afya yake. Covid ilikuwa rahisi sana kumchukua kama ilivyofanya.Iloboye kwa sie tulioishi Zanzibar Seifu alikuwa kama Mtume. Upinzani umefutika rasmi bara na Visiwani naamini upande ule unatoa machozi ya mamba tu. Corona ipo dada yangu nina maboss wangu huko wameponea chupuchupu Aghakan
Hajafa kwa Corona.KAYAFA amemuua.KAYAFA ametumia loophole ya Corona kufanya yake.Kifo cha Seif kimeniuma sana,sijui kulikuwa na ulazima gani wa yeye kwenda Mwanza then Chato. Huko ndo akaambukizwa,ukizingatia na age yake na afya yake. Covid ilikuwa rahisi sana kumchukua kama ilivyofanya.
Maalim hakuwa kama wale waliokimbilia kwa AmsterdamMwanasiasa aliyehimili vishindo vingi yawezekana kuliko wanasiasa wote walio hai Tanzania.Hakufa kwa sababu yoyote mpaka siku na saa yake ilipofika.
Alipenda sana kuzika wenzake kwa utulivu kabisa na imani.Na yeye azikwe kwa namna hiyo hiyo.
Hapana bwana .Covid imemuondoa.Hajafa kwa Corona.KAYAFA amemuua.KAYAFA ametumia loophole ya Corona kufanya yake.
Tunazidi Kuaibika Kila Siku...maombi ya kitaifa ya siku tatu yaliondoa korona.
Ndio shida ya kutegemea mtu badala ya taasisi. Bado chagdemaIloboye kwa sie tulioishi Zanzibar Seifu alikuwa kama Mtume. Upinzani umefutika rasmi bara na Visiwani naamini upande ule unatoa machozi ya mamba tu. Corona ipo dada yangu nina maboss wangu huko wameponea chupuchupu Aghakan
Kammaliza nani? Kivipi?Kuwa karibu na jiwe ni very risk, sasa hivi anaitumia sana covid kuwamaliza wabaya wake. sijui kwanini ameingia mtegoni kirahisi namna ile.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Badala yake ccm ina watu wa usalama ndani ya vyama vya upinzani
Nikuulize wewe mwenye akili Seif na ACT nao waliamini hakuna corona?Kwani tumeanza kuaminishwa kuanzia lini kwamba nchi hii haina corona? Na kwa umasikini wako wa Akili unadhani masikini ni mtu wa aina gani?
Leo kweli kumefiwa.... mzee wa nalog off nimekuona.!!! Haya tuwe pole. Tunashkuru kwa kila haliTuko pamoja nao ndg wa marehemu pia tunatoa pole kwa wafiwa wote.
Nalog off
Wallah tupo. Mie nimeenda hospital zaidi ya 3 mpk nkahisi nisharogwa..kuna corona ya kukaa nyumbani, na kuna corona ya kukimbilia hospitali.
..kuna watu vijana kuliko Maalim Seif lakini corona imewasumbua zaidi ya mwezi hawajakaa sawa.
MashaAllahMwanasiasa aliyehimili vishindo vingi yawezekana kuliko wanasiasa wote walio hai Tanzania.Hakufa kwa sababu yoyote mpaka siku na saa yake ilipofika.
Alipenda sana kuzika wenzake kwa utulivu kabisa na imani.Na yeye azikwe kwa namna hiyo hiyo.
Siku zote marehemu akitangulia mbele ya haki basi hapa dumian tuna ya kumbuka mazuri yaake endapo kama yapoMaalim huyu huyu CCM waliyekuwa wanamwita kila jina Baya , mchochezi , kibaraka WA mabeberu , kibaraka WA sultan , mchochezi , kibaraka WA uamsho
Nisaidie kujua Mimi ninaeamini Kuna corona,nawezaje kujilinda wakati watu wote wanaonizunguka wameamua kujitoa ufahamu kwamba Hakuna corona?Nikuulize wewe mwenye akili Seif na ACT nao waliamini hakuna corona?
Kweli hiyo. Maudhi yote aliyopata kutoka kwa ndugu zake akina Hamad Rashid,Lipumba na wenzake alihimili na baadae kuwasahau akaendelea kushika njia ile ile bila kukimbia mapambano. Wanasiasa wengi wa upinzani wakiona mambo mazito huachia njiani ama kurudi kule kule walikotoka au kukimbia nchi moja kwa moja.Maalim hakuwa kama wale waliokimbilia kwa Amsterdam