Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Kwani tumeanza kuaminishwa kuanzia lini kwamba nchi hii haina corona? Na kwa umasikini wako wa Akili unadhani masikini ni mtu wa aina gani?Maalimu Seif akikuwa masikini?
Kwani chama chake cha ACT kilikubali kwamba corona haipo?
Je, wakati anazunguka kupiga kampeni alikuwa anachukua tahadhali yeyote?