TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Ni ule ule ugonjwa aliojitangaza kuumwa ndio umemuondoa au mwingine! Apumzike panapomstahili,amiin.
 
Innalillah wainna ilaihi raajiu'n....hakika ya covid ni kweli tuchukue tahadhari
 
Dah.. Hatimae siasa za Zanzibar zimeingia ubaridi
 
Back
Top Bottom