Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

U
Chuki tu. Hutuoneshi kavunja sheria gain.
Maoni yako unataka yawe maoni ya Mh Othman.
Chuki zako zinakupofusha hats hujui maana ya barua rasmi.

Mara una muattack uanasheria wake.

Punguza chuki ewe mkereketwa.

Hakuna kosa hapo. Kutumia address rasmi ya cheo chake kumpongeza mshindi kwa njia rasmi ya barua. Shida nini?.

Angetoa pongezi kwa niaba ya wananchi kidogo tungeona point.

Punguza chuki na husuda
Makamu wa kwanza wa Smz kaka. Smz ni sehemu ya JMT, tambua hilo.
 
Union matter?
Hawa Ndugu zetu wa zenj haya mambo ya union wanayakubari? Huyo makamu alitimuliwa kwa maoni yake wakati ule..:
Union ni muhimu lakini hawa Ndugu zetu wanaforce mambo tu -hata kuanzia katiba yao
 
Hawa Ndugu zetu wa zenj haya mambo ya union wanayakubari? Huyo makamu alitimuliwa kwa maoni yake wakati ule..:
Union ni muhimu lakini hawa Ndugu zetu wanaforce mambo tu -hata kuanzia katiba yao
Ndio maana nakuambia amekiuka katiba, maana masuala ya Muungano hayamhusu. Bora angetumia Twita.
 
Mbona Rais wa Zanzibar akituwakilisha kwenye mikutano nje ya nchi hasemi ni unconstitutional.
Anatumwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kumwakilisha haendi Kama Raisi wa Zanzibar

Hata Mimi Mama Samia aweza nituma nimwakilishe umoja wa mataifa kwenye mkutano Sema tu ana allegy na Mimi.Mimi nakula nguruwe mbele yake
 
Ni magumashi tu
Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi huru.

Katiba ya Tanganyika ama ya muungano inasema Tanzania ni nchi moja.

Sasa ni nchi gani ziliungana halafu zikawa na katiba 2?

Huu muungano wa kimagumashi usikusumbue kichwa, achana nao.

Huu obvious ni muungano wa asp na tanu, chama kingine kikiingia huu muungano unakufa kifo cha mende asubuhi kabla jua halijachomoza.
 
Kifungu chochote cha sheria yoyote ya Tanzania Bara au Zanzibar kinachokinzana na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni batili. Period.

Hoja kwamba Zanzibar ni nchi huru kwasababu ina katiba yake ni ya kizembe sana. You gotta open up your mind! USA ni taifa moja lenye 50 states na kila state ina katiba yake, sheria zake, mahakama zake, prison system yake na fully functional law enforcement agencies zake. Hizo states zimekwenda mbali zaidi hata ya Zanzibar, lakini hata siku moja hakuna inayojitambulisha kwa mtu yeyote kuwa ni nchi au taifa in her own right!
 
Hiyo headed paper aliyotumia sio yake Ni ya serikali ya Zanzibar!!!! Huwezi binafsisha headed paper ya serikali
Watu mna wivu! Mpo mnao ona wivu hata ukimuona mtu anaenda kujisaidia HAJA KUBWA!
 
Kamtia nuksi huyo raisi wa Zambia . atajisikia vibaya imagine mtu unaapishwa kuwa Raisi half salami za pongezi unaletewa na makamu wa Raisi. Kiprotocol kamdhalilisha Raisi wa Zambia kuwa wewe Raisi wa ZAMBIA ni saizi yangu tu wewe haya pokea pongezi hizo. Raisi sio saizi yake. hizo salamu zake watakuwa wamezitupa kwenye dustbin
 
Back
Top Bottom