Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #81
Union matter?Kwa hiyo kosa ni kutumua headed paper au neno personally ? Kama aliiandika kwa niaba ya SMZ, ya nini kuweka hilo neno? Labda yumo humu ajibu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Union matter?Kwa hiyo kosa ni kutumua headed paper au neno personally ? Kama aliiandika kwa niaba ya SMZ, ya nini kuweka hilo neno? Labda yumo humu ajibu
Makamu wa kwanza wa Smz kaka. Smz ni sehemu ya JMT, tambua hilo.Chuki tu. Hutuoneshi kavunja sheria gain.
Maoni yako unataka yawe maoni ya Mh Othman.
Chuki zako zinakupofusha hats hujui maana ya barua rasmi.
Mara una muattack uanasheria wake.
Punguza chuki ewe mkereketwa.
Hakuna kosa hapo. Kutumia address rasmi ya cheo chake kumpongeza mshindi kwa njia rasmi ya barua. Shida nini?.
Angetoa pongezi kwa niaba ya wananchi kidogo tungeona point.
Punguza chuki na husuda
No, jibu ni kutii sheria bila shurti. Huwezi kuwa na katiba ikisema makamo asiandike barua India au MalawiUtatuzi wa mkanganyiko huu ni KATIBA MPYA - Serikali tatu.
We have union matters and non union matters.No, jibu ni kutii sheria bila shurti. Huwezi kuwa na katiba ikisema makamo asiandike barua India au Malawi
Hawa Ndugu zetu wa zenj haya mambo ya union wanayakubari? Huyo makamu alitimuliwa kwa maoni yake wakati ule..:Union matter?
Ndio maana nakuambia amekiuka katiba, maana masuala ya Muungano hayamhusu. Bora angetumia Twita.Hawa Ndugu zetu wa zenj haya mambo ya union wanayakubari? Huyo makamu alitimuliwa kwa maoni yake wakati ule..:
Union ni muhimu lakini hawa Ndugu zetu wanaforce mambo tu -hata kuanzia katiba yao
Anatumwa na Raisi wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania kumwakilisha haendi Kama Raisi wa ZanzibarMbona Rais wa Zanzibar akituwakilisha kwenye mikutano nje ya nchi hasemi ni unconstitutional.
Katiba ya Zanzibar inasema Zanzibar ni nchi huru.
Katiba ya Tanganyika ama ya muungano inasema Tanzania ni nchi moja.
Sasa ni nchi gani ziliungana halafu zikawa na katiba 2?
Huu muungano wa kimagumashi usikusumbue kichwa, achana nao.
Huu obvious ni muungano wa asp na tanu, chama kingine kikiingia huu muungano unakufa kifo cha mende asubuhi kabla jua halijachomoza.

Watu mna wivu! Mpo mnao ona wivu hata ukimuona mtu anaenda kujisaidia HAJA KUBWA!Hiyo headed paper aliyotumia sio yake Ni ya serikali ya Zanzibar!!!! Huwezi binafsisha headed paper ya serikali