johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.
Source ITV habari!
Source ITV habari!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwashee usilete utani!Corona haiwadhuru wana LUMUMBA, wala aisogope. Wao si wanajiona malaika
Huyu mzee anapenda sana kusafiri.Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.
Source ITV habari!
Tunakuza sana Corona. Wanadamu wa leo tulivyo, Inajulikana n kuogopwa kuliko hata Mwenyezi Mungu na amri zake.Corona haiwadhuru wana LUMUMBA, wala aisogope. Wao si wanajiona malaika.
Kwa afya yake mbovu ukimpata lazima tumsahauBalozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.
Source ITV habari!
Stupidity.Corona haiwadhuru wana LUMUMBA, wala aisogope. Wao si wanajiona malaika.[emoji2955]
Unaweza kusahaulika wewe bwashee!
Ufipa ndo mlijigamba ati ije tu. Sasa Leo imebisha hodi mnatugeuzia kibao tena. Pumbav sana nyieCorona haiwadhuru wana LUMUMBA, wala aisogope. Wao si wanajiona malaika.
Nyumbani kwake ni zaidi ya hotelini!
Kama ni hivyo hata mkuu wa mkoa wa zanzibar Dr Shein nae awekwe karantiniBalozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.
Source ITV habari!
Ummy na Majaliwa wamemkataza kuwa kiropo ropoSpika ya Taifa Makonda mbona haikubwabwaja kuhusu hili ?
Kwani alisafiri?Kama ni hivyo hata mkuu wa mkoa wa zanzibar Dr Shein nae awekwe karantini