Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.

Source ITV habari!
Kwani ilikua lazima asafiri?
Umri huo,na hiyo stroke aliokua nayo ni mazingira rafiki sana kwa corona
Makamu mzima unawezaje kusafiri kipindi hiki
 
Mbona anaitwa makamu wa pili wa Rais; makamu wa kwanza ni nani?
 
Mbowe ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani. Hana cha binafsi,. Ni part and parcel ya mfumo wa Bunge la Tanzania.

Wewe CCM gani unakuwa poyoyo ama ma chadema?

Vipi mtoto wa Mwenyekiti Mbowe kapona Corona?
Marufuku kuendelea kuni quote
 
Kwa hiyo sepa tu. Si lazima ujibu, ni jukwaa huru hulazimishwi kujibu chochote JF na hunanulazima wa kutoa sababu zako.
You sound very different. No substance in your comments as it used to be the case.
 
Wanasiasa ni wajanja tu. Huko anakotoka alikuwa kwenye isolation pia. Kwa hiyo isolation aloyojiwekea baada ya kurudi ni janja tu ya kuonesha watu kwamba anatii amri. Lakini kama ingelikuwa ana dalili kweli hasa huyu ni mtu wa mwanzo kukataa ushauri wa kitaalamu. Ushauri wa kitaalamu alipewa miaka mitatu iliyopita apumzike kutokana na hali yake ya kiafya mbona kaukataa. Na ndio maana kwa Bara unaona Majaaliwa anatowa ripoti wakati Zanzibar ni Waziri wa Afya. Kwa sababu huyu jamaa hata maneno hayatoki mdomoni na akikaa mbele ya camera.hawaruhusiwi kumchukuwa usoni.
Ana pacial paralism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom