Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Alionana na msaidiz wakeKwani alisafiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alionana na msaidiz wakeKwani alisafiri?
Hivi mwenyekiti wa maisha wa chadema, Freeman Mbowe, na mwanawe walishatoka karantini?Kama ni hivyo hata mkuu wa mkoa wa zanzibar Dr Shein nae awekwe karantini
CORONA ni ugonjwa Mpya hapa duniani na athari zake zinaonekana wazi kijamii, kiuchumi na katika kila kitu. pia ili kutaka kujua Malaria ilikuwa na athari gani kwa Dunia ni vema ukasoma Historia yake wakati ilipoanza nini kilitokea. Unapoandika kuwa Corona inaogopwa kuliko Mungu sidhani kama umejifikirisha vya kutosha.Tunakuza sana Corona. Wanadamu wa leo tulivyo, Inajulikana n kuogopwa kuliko hata Mwenyezi Mungu na amri zake.
Hivi watu huwa hawafi? Malaria na Africa yetu, mbona haikupewa sifa hizi tunazoipa Corona?
Kuna kitu kimekutokea wewe hauko sawa, kwa hiki ulichokiandika hizi sio akili zako ninazozijua.Hivi mwenyekiti wa maisha wa chadema, Freeman Mbowe, na mwanawe walishatoka karantini?
Vipi mkewe na waototo, ndugu, jamaa na marafiki wengine wwliokutwnw nao,nao wamepimwa?
Wana paka au mbwa nyumbani kwao, nao vipi?
Kipi ambacho uongo kwa nilichokiandika?Kuna kitu kimekutokea wewe hauko sawa, kwa hiki ulichokiandika hizi sio akili zako ninazozijua.
Hiyo inaitwa self isolation bwashee!
Mimi ni mwanachama kindakindaki wa ccm. Mambo ya Chadema nenda kawaulize wahusikaHivi mwenyekiti wa maisha wa chadema, Freeman Mbowe, na mwanawe walishatoka karantini?
Vipi mkewe na waototo, ndugu, jamaa na marafiki wengine wwliokutwnw nao,nao wamepimwa?
Wana paka au mbwa nyumbani kwao, nao vipi?
Hata uCCM wako haukuzuwii kuelewa habari, wewe pia unaweza kuwa na habari zake au mwengine yeyote anaesoma uzi huu anaweza kujibu kama anazo. Ni jukwaa huru hili.Mimi ni mwanachama kindakindaki wa ccm. Mambo ya Chadema nenda kawaulize wahusika
Mtafute mtu wa chademaHata y CCM wako haukuzuwii kuelewa habari, wewe pia unaweza kuwa na habari zake au mwengine yeyote anaesoma uzi huu anaweza kujibu kama anazo. Ni jukwaa huru hili.
Tumeikuza kuliko hata ilivyo. Tunalazimisha wote tuwe wagonjwaCORONA ni ugonjwa Mpya hapa duniani na athari zake zinaonekana wazi kijamii, kiuchumi na katika kila kitu. pia ili kutaka kujua Malaria ilikuwa na athari gani kwa Dunia ni vema ukasoma Historia yake wakati ilipoanza nini kilitokea. Unapoandika kuwa Corona inaogopwa kuliko Mungu sidhani kama umejifikirisha vya kutosha.
UCCM wako haukuzuwii kuelewa habari, wewe pia unaweza kuwa na habari zake au mwengine yeyote anaesoma uzi huu anaweza kujibu kama anazo. Ni jukwaa huru hili.Mtafute mtu wa chadema
Muulize masuala ya chadema
Acha porojo porojo
Mimi binafsi sitaki kujua mambo binafsi ya Mbowe.UCCM wako haukuzuwii kuelewa habari, wewe pia unaweza kuwa na habari zake au mwengine yeyote anaesoma uzi huu anaweza kujibu kama anazo. Ni jukwaa huru hili.
CCM nako wiki hizikuna mapoyoyo wengi pia. Sikushangai.
Kwa hiyo sepa tu. Si lazima ujibu, ni jukwaa huru hulazimishwi kujibu chochote JF na hunanulazima wa kutoa sababu zako.Mimi binafsi sitaki kujua mambo binafsi ya Mbowe.
Marufuku kuniuliza maswali kuhusu chademaKwa hiyo sepa tu. Si lazima ujibu, ni jukwaa huru hulazimishwi kujibu chochote JF na hunanulazima wa kutoa sababu zako.
Hahahaha naona unampa za uso bibi yakoMarufuku kuniuliza maswali kuhusu chadema
Kwi Kwi KwiStupidity.
Wewe punguani Nani alikuuliza swali kuhusu chadema?Marufuku kuniuliza maswali kuhusu chadema