Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

Ana matatizo. Labda katokea hospitali. Kwingineko walikozoea hakuendeki
 
Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.

Source ITV habari!
Kama ni hivyo hata mkuu wa mkoa wa zanzibar Dr Shein nae awekwe karantini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…