Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar balozi Idd Seif yuko kwenye karantini ya Corona

Balozi Seif Idd anasema baada ya kutoka Cuba ameamua kujiweka katika karantini ya siku 14 nyumbani kwake.

Source ITV habari!
Kwani ilikua lazima asafiri?
Umri huo,na hiyo stroke aliokua nayo ni mazingira rafiki sana kwa corona
Makamu mzima unawezaje kusafiri kipindi hiki
 
Mbona anaitwa makamu wa pili wa Rais; makamu wa kwanza ni nani?
 
Mbowe ni kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani. Hana cha binafsi,. Ni part and parcel ya mfumo wa Bunge la Tanzania.

Wewe CCM gani unakuwa poyoyo ama ma chadema?

Vipi mtoto wa Mwenyekiti Mbowe kapona Corona?
Marufuku kuendelea kuni quote
 
Kwa hiyo sepa tu. Si lazima ujibu, ni jukwaa huru hulazimishwi kujibu chochote JF na hunanulazima wa kutoa sababu zako.
You sound very different. No substance in your comments as it used to be the case.
 
Ana pacial paralism

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…