Eee bwana wee!
Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko".
Baada ya watalibani kutangaza ubabe, Makamu wa rais aitwaye, ameapa kutokukubali kukaa chini ya magaidi wa kundi la Taliban na ameomba msaada wa kimataifa.
Ni nini hatima ya amani katika nchi hiyo iliyojaa watu wasiokuwa na tumaini na ambao kwao kuishi ni ukurasa tu katika kitabu?