Biohazard
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 2,197
- 1,465
Jumuiya ya kimataifa tena wakati wababe wasiyoshinda vita aka wamarekani wameomba poo?! Huyo makamu wa raisi bora angesoma alama za nyakati atulize wenge jamaa wamuingize kwenye serikali.
Hao wakuda hawachelewi kumkata kichwa akizingua. Kama Marekani imeshindwa sembuse yeye?!
Je unafahamu kama Wamarekani bado wapo Kabul na ndio wanashikilia Uwanja wa Ndege kwa Ulinzi Mkali? Je unafahamu hakuna mdudu yeyote toka Taleban ambae ameenda kushambulia hapo uwanja wa ndege?
Kuna mengi unatakiwa kujiuliza sana kuhusu hizo vita za Afganistan na uhusika wa Wamarekani.