Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Yes, aliitwa Ahmed Shah Massoud na ndie alikuwa "mentor" wake huyu Saleh.Richard pamoja wamarekani wanamtegea lakini tayari pana ukabila unao anza kujitokeza coz WATALIBAN wengi wao ni wakabila la PASHTUUN wanachukua 60% ya wa Afghanistan, huyu Vice president Amurullah yeye ni wakabila la TAJIK na makamanda aliondoka nao ni wakabila la kitajik, yumo waziri wa ulinzi pamoja na mtoto wa mbabe wakivita wazamani wa kundi la NORTHERN ALLIANCE Ahmed Masood.View attachment 1897160
Huyo mtoto wa Massoud ndiye kamanda wa hiyo Northern Alliance.
Marekani hawamtegei bali wanamtumia maana kama nilivyosema kwenye ile mada, huyu ni mtu wao yaani "asset".
Hivyo sasa ndo wanandaa Guerilla Movement huku Marekani wakitoa msaada kama logistics na intelligence.
Hii dunia tuione hivihivi, imejaa mauzamauza lukuki.