Makamu wa Rais Afghanistan awagomea Taliban, asema yeye ndiye Rais halali

Eee bwana wee!.

Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko".

Baada ya watalibani kutangaza ubabe, Makamu wa rais aitwaye, ameapa kutokukubali kukaa chini ya magaidi wa kundi la taliban na ameomba msaada wa kimataifa.

Ni nini hatima ya amani katika nchi hiyo iliyojaa watu wasiokuwa na tumaini na ambao kwao kuishi ni ukurasa tu katika kitabu?

Wataliban wakimshika huyu wanaweza kumtaili kwa jambia
 
Huyu jamaa Amurullah Saleh wa kabila la Tajik, alikua makamu wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan alieikimbia nchi, katokea Afghanistan kaskazini kwenye jimbo la Panjshir na ndiko kuliko kuwepo muungano wa NORTH ALLIANCE ulioshirikiana na USA kuwafurusha Taliban 2001 na ndiko alikokimbilia baada Taliban kuuteka kabul. Amurullah kaondoka na makamanda wa kijeshi kwenda kuanzisha vuguvugu la kupinga utawala mpya wa Taliban
PANJSHIR ni jimbo pekee mpaka sasa hivi halijaangukiya mikononi mwa Taliban.
View attachment 1896882View attachment 1896883
Itabidi ajitenge na Afhagan kama Somaliland ilivyojimega kutoka kwa wapenda vita
 
Naona bado wewe hujui siasa za marekani mpaka utafuniwe na kumezewa.

Kwa akili ya kawaida ni kwamba USA wapo behind hiyo movie na ndo wafadhili wa Talebans. Wanachikitafuta ni justification ya wao kurudi tena Afghanistan ili waendelee kutawala
Sina hakika na hili. Ninachokifahamu mimi taliban wana affiliations na china, urusi na pakistani anawasaidia kwa pasi fupi fupi.
 
Ni jana tu nimemuelezea uzuri jamaa humu.

Huyu ndie tegemeo la wamarekani.
Richard pamoja wamarekani wanamtegea lakini tayari pana ukabila unao anza kujitokeza coz WATALIBAN wengi wao ni wakabila la PASHTUUN wanachukua 60% ya wa Afghanistan, huyu Vice president Amurullah yeye ni wakabila la TAJIK na makamanda aliondoka nao ni wakabila la kitajik, yumo waziri wa ulinzi pamoja na mtoto wa mbabe wakivita wazamani wa kundi la NORTHERN ALLIANCE Ahmed Masood.
images.jpeg-1.jpg
 
Eee bwana wee!.

Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko".

Baada ya watalibani kutangaza ubabe, Makamu wa rais aitwaye, ameapa kutokukubali kukaa chini ya magaidi wa kundi la taliban na ameomba msaada wa kimataifa.

Ni nini hatima ya amani katika nchi hiyo iliyojaa watu wasiokuwa na tumaini na ambao kwao kuishi ni ukurasa tu katika kitabu?
 
Attachments

  • VID-20210818-WA0102.mp4
    9.1 MB
  • VID-20210818-WA0116.mp4
    2.2 MB
Eee bwana wee!.

Vita vya ndani havina mshindi. Bila kukaa mezani na kutengeneza muuundo usio na ubaguzi wala ugandamizaji wa haki za watu katika jamii, historia inaendelea kuonyesha kwamba "Utulivy wowote unaoweza kuonekana huwa ni unafiki, unaovundika machafuko".

Baada ya watalibani kutangaza ubabe, Makamu wa rais aitwaye, ameapa kutokukubali kukaa chini ya magaidi wa kundi la taliban na ameomba msaada wa kimataifa.

Ni nini hatima ya amani katika nchi hiyo iliyojaa watu wasiokuwa na tumaini na ambao kwao kuishi ni ukurasa tu katika kitabu?

Kwanza kabisa taleban sio magaidi, hilo neno umekaririshwa na msbeberu.

Uyo makamu kama ataiongoza nchi kwa sheria za kiisilamu apo sawa. Vinginevyo hafai na atolewe kwa nguvu awafate mabeberu.
 
Mleta uzi bandiko lako kama vile umelileta kichuki flani na dharau kwa hawa jamaa wataliban,, najua wengi wenu mnawachukia wataliban ila wao ndo wenye nchi na ndo washaingia madarakani hivyo,, na kama ilivyo ada yao nchi itaendeshwa kiislam na sharia,, yale mambo ya kisenge sheria za mmarekani mwanaume amfile mwanaume mwenzie atafute pengine pa kuyapeleka sio pale Afghanistan
 
Kwanza kabisa taleban sio magaidi, hilo neno umekaririshwa na msbeberu.

Uyo makamu kama ataiongoza nchi kwa sheria za kiisilamu apo sawa. Vinginevyo hafai na atolewe kwa nguvu awafate mabeberu.
Magaidi ni nani kiongozi?

Huyu jamaa Amurullah Saleh wa kabila la Tajik, alikua makamu wa Rais Ashraf Ghani wa Afghanistan alieikimbia nchi, katokea Afghanistan kaskazini kwenye jimbo la Panjshir na ndiko kuliko kuwepo muungano wa NORTH ALLIANCE ulioshirikiana na USA kuwafurusha Taliban 2001 na ndiko alikokimbilia baada Taliban kuuteka kabul. Amurullah kaondoka na makamanda wa kijeshi kwenda kuanzisha vuguvugu la kupinga utawala mpya wa Taliban
PANJSHIR ni jimbo pekee mpaka sasa hivi halijaangukiya mikononi mwa Taliban.
View attachment 1896882View attachment 1896883
Aendelee kujishaua. Bila US huyu ni kuku wa kisasa. Anatafuta namna ya kuiba pesa zilizobaki akimbie akale bata huko kwa sponsors wake. Hana jipya
 
Back
Top Bottom