Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mbona anadai alikuwa nje kwa kazi maalumu?Makamu alikuwa nje kimatibabu, elewa hivyo
Kajiumbua mwnyewe, tena bora angekaa kimya.Kubalini amewaumbua enyi wanafiki😁
Watanzania tumezoea kudanganywa na kuzuiwa kuhoji. Tuna viongozi wenye akili ya kawaida sana ila wakiwa madarakani wanajiona wana akili sana kuliko watu wote. Haiwezekani makamu akawa nje ya nchi kwa zaidi ya mwezi kwa kazi isiyojulikana. Je leo mbona mke wake hakuonekana kanisani? Wazazi wa wajukuu zake walikuwa wapi? Alipoona uzushi kwenye mitandao alichukua hatua gani......Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Raisi kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Raisi?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Raisi anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
.
Nilijua tu hamtakubali. Kwani da'Mange anasemaje?😎Kajiumbua mwnyewe, tena bora angekaa kimya.
Kwani matibabu siyo Kazi maalumu?Mbona anadai alikuwa nje kwa kazi maalumu?
Hajamuumbua yeyote Bali amethibitisha ni sehemu ya Mbumbumbu wa CCM. Makamu wa Rais unakubali kuwa dodoki la kusafisha uongo wa wenzio huku unasali kanisani na uliapa umeshika biblia?Kubalini amewaumbua enyi wanafiki[emoji16]
Chukua maua yako Mkuu.Hapa kuna wanaotaka iwe makamu wa Rais alikuwa mgonjwa, na wengine wanasema hakuwa mgonjwa alikuwa nje kwa shughuli maalum.
Naamini hiyo yote inasababishwa na nafasi yake aliyonayo, watu wana haki ya kuhoji wapi alipo kiongozi wao, serikali inayosababisha ligi kwa kutuficha sababu ya kutoonekana kwake ndio inatukosea.
Makamu wa Rais ana bahati mbaya sijui kwanini haya makelele humkuta yeye, nakumbuka hata wakati ule wa Magufuli pia aliletwa kuongea na waandishi wa habari huku hali yake ikiwa haijakaa sawa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
UgonjwaKwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Ndo shughuri maalumu?Makamu alikuwa nje kimatibabu, elewa hivyo