Makamu wa Rais anaeweza kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja kwa shughuli maalamu?

Ukifuatilia hotuba yake kanisani... Ukasoma na Zaburi 118:17 aliyotumia kujenga hoja utagundua kuwa hali ilikuwa mbaya!
Na kwa sasa anaishi kusimulia matendo ya BWANA!
NB:
1. UGONJWA si lazima apunguwe mwili!
2. Kuna kitu mahali hakipo sawa!
 
Kanisani tunaenda kusali sio kuhutubia haya mambo yalianza kipindi cha Magu, huko kwa akina Mkapa na Nyerere hizi mambo hazikuwepo.
 
Sasa kama alikuwa kikazi au vinginevyo, siyo kazi yenu!

Kwani wewe ukienda mjini kufanya kazi si unaweza ukapitia sehemu ukafanya jambo tofauti na lililokupeleka?
Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa..

Wewe unadhani kiongozi wa umma wa nafasi ya Vice President (VP) ni kama wewe Kindeena mkulima wa miwa wa Kilombero unayejiamulia mwenyewe tu kwenda popote kufanya lolote na watu (umma) wasiwe na time na wewe..

Ndugu Kindeena, VP ni Mali ya umma. Ni Mali ya Kila mtu. Hatuna time naye anapoiingia chooni kujisaudia au bafuni kuoga tu. Lakini popote anapokwenda ndani au nje ya nchi lazima umma wote ujue. Na ni lazima ijulikane safari hiyo ni ya malengo gani...

Lakini hii ya VP kuwa nje ya nchi mwezi na ushee halafu umma haujui mpaka Kila mtu akaanza ku - speculate la kwake haijakaa sawa na serikali imefanya kosa kubwa sana...!
 
Kula chakula siyo sawa na kumeza vidonge vya kutibu malaria. Unamwza vidonge kwa sababu maalumu. Unakula chakula ni shughuli ya kawaida. Natoa mfano tu kukueleza tofauti ya jambo maalumu na jambo la kawaida
Wewe mwenyewe unajiona umejibu swali langu?
 
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.

Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?

Ni kazi gani hiyo?

Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?

Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Naona walikuwa wanafanya ku-"spin issues" ili mambo yao yaende smoothly. Yaani mpaka wakati mwingine unakaa unajiuliza hivi hawa ndugu zetu baada ya kupata hivyo vyeo vyao, huwa wanatuonaje? Wanatuchukuliaje?!
Yaani tunaletewa mambo juu ya mambo ili tu tusiongelee mambo yanayotuumiza kama vile mfumko wa bei na nauli za mabasi na daladala kupanda n.k.
Mungu anawaona.
 
Nyie ndio Raisi amewaongelea. Vijana hamhoji mambo ya msingi kuhusu nchi yenu hivi mtakuwa watu gani mkipewa nchi huko mbeleni!
 
Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa..

Wewe unadhani kiongozi wa umma wa nafasi ya Vice President (VP) ni kama wewe Kindeena mkulima wa miwa wa Kilombero unayejiamulia mwenyewe tu kwenda popote kufanya lolote na watu (umma) wasiwe na time na wewe..

Ndugu Kindeena, VP ni Mali ya umma. Ni Mali ya Kila mtu. Hatuna time naye anapoiingia chooni kujisaudia au bafuni kuoga tu. Lakini popote anapokwenda ndani au nje ya nchi lazima umma wote ujue. Na ni lazima ijulikane safari hiyo ni ya malengo gani...

Lakini hii ya VP kuwa nje ya nchi mwezi na ushee halafu umma haujui mpaka Kila mtu akaanza ku - speculate la kwake haijakaa sawa na serikali imefanya kosa kubwa sana...!
VP siyo mali ya Umma.

Hakuna binadamu anamiliki binadamu.

Siyo kila kitu unaweza ukaambiwa kuhusu kiongozi wako; huna haki ya kujua hali na kila kitu cha kiongozi.

Kuhusu afya yake, hilo ni juu yake aidha akuambie ama asiseme au aseme kidogo.

Hata ukijua afya yake wewe inakusaidia nini? Unampa panado, au ni kutaka umbeya tu!
 
Wananchi wanapaswa na wana haki ya kuhoji kiongozi wao (especially) wa ngazi ya juu asipooneka kwenye majukumu yake ya kila siku.
 
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.

Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?

Ni kazi gani hiyo?

Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?

Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?

Nani alitoa taarifa kama alikua na shida ya afya na alikua na upasuaji zaid yake yeye binafsi kusema kinagaubaga akizungumza na wazee wa dar es salaam, aliporejea kutoka huko alikokua akitibiwa?
 
Chadema ni mbumbumbu

Unakuta mtu linamuulizia Makamu ila Baba yake Mzazi ajamjulia Hali miezi 5

Mwooo mwooo nyie
 
Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.

Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?

Ni kazi gani hiyo?

Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?

Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?

Maswali ni mengi kuliko majibu.
Amejibu

Back
Top Bottom