Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Sawa.😎Kama ulijua yawezekana ukawa nabii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa.😎Kama ulijua yawezekana ukawa nabii
Ukifuatilia hotuba yake kanisani... Ukasoma na Zaburi 118:17 aliyotumia kujenga hoja utagundua kuwa hali ilikuwa mbaya!
Na kwa sasa anaishi kusimulia matendo ya BWANA!
NB:
1. UGONJWA si lazima apunguwe mwili!
2. Kuna kitu mahali hakipo sawa!

For benefit of doubt not by benefit of doubtchukua ulichoelezwa kuwa alikuwa nje kikazi mengine yaache by benefit of doubt iwapo huamini. fullstop.
Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa..Sasa kama alikuwa kikazi au vinginevyo, siyo kazi yenu!
Kwani wewe ukienda mjini kufanya kazi si unaweza ukapitia sehemu ukafanya jambo tofauti na lililokupeleka?
Wewe mwenyewe unajiona umejibu swali langu?Kula chakula siyo sawa na kumeza vidonge vya kutibu malaria. Unamwza vidonge kwa sababu maalumu. Unakula chakula ni shughuli ya kawaida. Natoa mfano tu kukueleza tofauti ya jambo maalumu na jambo la kawaida
Bosi wake ni raia wa nchi hii wanaolipa kodi.Kikubwa awe na ruhusa, ya Bosi wake. Tukupe namba ya Bosi wakeumuulize kama alikaa mudahuo kwa ruhusa ama la?
Sina kioo nitajionaje!Wewe mwenyewe unajiona umejibu swali langu?
Naona walikuwa wanafanya ku-"spin issues" ili mambo yao yaende smoothly. Yaani mpaka wakati mwingine unakaa unajiuliza hivi hawa ndugu zetu baada ya kupata hivyo vyeo vyao, huwa wanatuonaje? Wanatuchukuliaje?!Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
VP siyo mali ya Umma.Yaani wewe ni mbumbumbu kabisa..
Wewe unadhani kiongozi wa umma wa nafasi ya Vice President (VP) ni kama wewe Kindeena mkulima wa miwa wa Kilombero unayejiamulia mwenyewe tu kwenda popote kufanya lolote na watu (umma) wasiwe na time na wewe..
Ndugu Kindeena, VP ni Mali ya umma. Ni Mali ya Kila mtu. Hatuna time naye anapoiingia chooni kujisaudia au bafuni kuoga tu. Lakini popote anapokwenda ndani au nje ya nchi lazima umma wote ujue. Na ni lazima ijulikane safari hiyo ni ya malengo gani...
Lakini hii ya VP kuwa nje ya nchi mwezi na ushee halafu umma haujui mpaka Kila mtu akaanza ku - speculate la kwake haijakaa sawa na serikali imefanya kosa kubwa sana...!
Hivi JK alipokua akipata matibabu huko ng'ambo alikaa muda gani?Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Ulichokiandika kinaendana na majibu yakoSina kioo nitajionaje!
Mara kwa mara nimekusihi urudi shule ukajifunze kuandika,hutaki.Chadema ni mbumbumbu
Unakuta mtu linamuulizia Makamu ila Baba yake Mzazi ajamjulia Hali miezi 5
Mwooo mwooo nyie
AmejibuNaomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
😃😄😅😁😁😁Makamu alikuwa nje kimatibabu, elewa hivyo