Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Nyie makamanda uchwara ni shiida kweli kweli😁Hajamuumbua yeyote Bali amethibitisha ni sehemu ya Mbumbumbu wa CCM. Makamu wa Rais unakubali kuwa dodoki la kusafisha uongo wa wenzio huku unasali kanisani na uliapa umeshika biblia?
Kula chakula siyo sawa na kumeza vidonge vya kutibu malaria. Unamwza vidonge kwa sababu maalumu. Unakula chakula ni shughuli ya kawaida. Natoa mfano tu kukueleza tofauti ya jambo maalumu na jambo la kawaidaNdo shughuri maalumu?
Umeona ulivo pumbavu .matibabu ni kazi anayofanya anayeumwa .kwani ukificha kuwa huna akili tungejuajeKwani matibabu siyo Kazi maalumu?
Usiwe tutusa
Shujaa Magufuli: Nilimtuma India kwenye matibabu
Huenda bi hadija akawania muhula wa tatu, maana aliikana awamu ya kwanza waliyoanza pamoja na Magu.labda training on the job who knows? all in all 2025/30 kikatiba tuna raisi mwingine …
Mwenye ukweli ni yeye na ndiyo kasema alikuwa nje kwa kazi maalum. Wengine tutapiga ramri ambayo haitatoa jibu sahihi.Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Raisi kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Raisi?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Raisi anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
.
Nimesoma habari kwenye gazeti la mwananchi. Nimegundua hii nchi watu ni waongo sana. Nukuu zile zinamaanisha tofauti na anachokisema.Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Raisi kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Raisi?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Raisi anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
.
Hiyo shughuli maalumu ya siku 40 ni ipi?Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Raisi kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Raisi?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Raisi anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
.
Wewe Ndio kubwa la MapumbafuUmeona ulivo pumbavu .matibabu ni kazi anayofanya anayeumwa .kwani ukificha kuwa huna akili tungejuaje
Naam mkuu, imeshafahamika sasa alikuwa katika shughuli maalum ambayo ilimfanya awe nje ya ofisi yake bila ya umma kutaarifiwa kwa siku zaidi ya 30. Unyeti wa shughuli hiyo maalum pengine ndiyo uliopelekea kugubikwa kwa ukimya huo.Hiyo shughuli maalumu ya siku 40 ni ipi?
Tokapa nani hajawahi kuwa serikalini mnadhani mnachati na wauza nguo kariakoo .hakuna cha kazi maalumu ya kuugua huyu walikuwa wanaficha kitu na kuna kiktu hakiko sawa FULL STOPWewe Ndio kubwa la Mapumbafu
Neno " Kazi maalumu" linapotumiwa na Kiongozi wa Serikali ni Watu wachache wenye uelewa wa kuelewa na tutusa kama wewe siyo mmoja wao
Why unalazimisha hisia zako ziwe ukweli? Kumbuka huyo ni kiongozi ngazi ya juu kitaifa je kama serikali imebaini kuwa kuna umuhimu wa yeye kupewa short course ili kuimalisha uongozi wake ni lazima utangaziwe?Tokapa nani hajawahi kuwa serikalini mnadhani mnachati na wauza nguo kariakoo .hakuna cha kazi maalumu ya kuugua huyu walikuwa wanaficha kitu na kuna kiktu hakiko sawa FULL STOP
Makamu mwenyekiti wao anakaa nje kwa miezi kwa kazi hizohizo maalum, hawahoji.Kubalini amewaumbua enyi wanafiki😁
Ukifuatilia hotuba yake kanisani... Ukasoma na Zaburi 118:17 aliyotumia kujenga hoja utagundua kuwa hali ilikuwa mbaya!Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Raisi kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Raisi?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Raisi anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Raisi, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
.
Akiwa anapewa short corse wanampangia huku nyuma mikutano ndan ya short cozi nje hapa nchini ? ACHA KUTETEA WENYE PUMBU WENZIO UCHAWA TUWhy unalazimisha hisia zako ziwe ukweli? Kumbuka huyo ni kiongozi ngazi ya juu kitaifa je kama serikali imebaini kuwa kuna umuhimu wa yeye kupewa short course ili kuimalisha uongozi wake ni lazima utangaziwe?
Kwa Tz na nchi nyingi za ki-Afrika hilo linawezekana kabisa, wala hakuna tatizo.Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Nenda kakiweke sawa basi😁...2. Kuna kitu mahali hakipo sawa!
Nashukuru kwa hii ruhusa!!🤣🤣Nenda kakiweke sawa basi😁
Salary slip, Sokoine alipigwa risasi ya mguu, alienda kutibiwa Cuba, baadaye akamalizia Denmark. Alichukua miezi siyo mwezi.Naomba kufahamishwa inawezekana vipi mtu mwenye wadhifa wa umakamu Rais kukaa nje ya nchi kwa mwezi mmoja eti kwa shughuli maalumu.
Hata Katibu Mkuu tu wa wizara ni nadra kuweza kukaa mwezi mzima sasa iweje kwa makamu wa Rais?
Ni kazi gani hiyo?
Makamu wa Rais anaweza kuwa mtendaji wa kuwa na kazi ya kumuweka nje ya nchi kwa mwezi mzima?
Kwa nafasi yake, ni msaidizi wa Rais, mtu wa kusimamia sera, sasa nini kinaweza kumuweka nje ya nchi kwa muda wote huo?
Maswali ni mengi kuliko majibu.
Siyo kweli kwamba Makamu wa Rais ana bahati mbaya, kiini cha tatizo hili umetokana na Serikali yenyewe kwa kitendo chake cha kufanya Siri mambo ambyo kimsingi hayahitajiki kuwa Siri. Hivi kama Serikali ingeweka wazi mapema juu ya suala hili, unafikiri huu uvumi mbaya uliojitokeza ungekuwepo?? Hivi Serikali ina sababu gani ya kuficha jambo kama hili? Je, ingepata hasara gani endapi kama safari ya huyo VP ingewekwa wazi kwa Wananchi??Hapa kuna wanaotaka iwe makamu wa Rais alikuwa mgonjwa, na wengine wanasema hakuwa mgonjwa alikuwa nje kwa shughuli maalum.
Naamini hiyo yote inasababishwa na nafasi yake aliyonayo, watu wana haki ya kuhoji wapi alipo kiongozi wao, serikali inayosababisha ligi kwa kutuficha sababu ya kutoonekana kwake ndio inatukosea.
Makamu wa Rais ana bahati mbaya sijui kwanini haya makelele humkuta yeye, nakumbuka hata wakati ule wa Magufuli pia aliletwa kuongea na waandishi wa habari huku hali yake ikiwa haijakaa sawa.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Nilijua tu hamtakubali. Kwani da'Mange anasemaje?😎