Makamu wa Rais anapoambatana na wake zake wawili....!!!

Duh wapendeza hususan huyo zakia...wamevaa rangi za nguo sawa ukewenza wa ushosti huu lol
 
Kazi sana kuwa na miviongozi miislamu
Mh.JohniEee usiwe unachafua hewa !! FYI, waalikwa Vingozi hao walukwa katika mahafila maalum walialikwa na viongozi wa kikristo katika shughuli hiyo utaona hapo wapo Viongozi wengi wa dini. ilikuwa hao wenyeji wao (maPare) kumshauri kuwa vipi aje na double kwa kuw nyie/Ukristo hauruhusu double!! Lakini madamu maPadre wamependezewa basi hakuna principle....katika imani na hadhi za dini..... ingelikuwa kwa Muisilamu jambo lisiloridhisha uisilamu tu!! hapohapo angelipigwa full-stop. TAFADHALI TOKA.
 
Kazi sana kuwa na miviongozi miislamu

Ndugu yangu yaya Toure kua muangalifu na unayo yaandika,hukutumia lugha ya kiistarabu,kuunasibisha Uislam na hio picha ya makamo wa Rais,hayo ni mapendekezo yake kwenda hapo na wake zake,kama na ss ukitaka tuanze kuwachambua viongozi Wakristo wanapokua kwenye ghafla kama hizo,basi ufahamu patakua hapatoshi humu jamvini,kwani hata cc pia tunauheshimu Ukristo,taf usirudie tena,kama huna la kuandika basi kua msomaji tu.
 
Sijui ana nguvu gani ya kuwaridhisha hao 2.Wengine hata mmoja ametushinda
 
Ndugu yangu yaya Toure kua muangalifu na unayo yaandika,hukutumia lugha ya kiistarabu,kuunasibisha Uislam na hio picha ya makamo wa Rais,hayo ni mapendekezo yake kwenda hapo na wake zake,kama na ss ukitaka tuanze kuwachambua viongozi Wakristo wanapokua kwenye ghafla kama hizo,basi ufahamu patakua hapatoshi humu jamvini,kwani hata cc pia tunauheshimu Ukristo,taf usirudie tena,kama huna la kuandika basi kua msomaji tu.

Kama Nyerere angekuwa ameoa 2 wives,heshima ya nchi ingeshuka siku nyingi.
 
..Kivipi tusinge kaa foleni ya mikate ya boflo wala sukari wala tunsinge kula sembe la njano wala tusigenyoa nywele kiwembe ki1 vichwa 10 mpaka 20 au tusingekatazwa kutembelea gari ju 1 na jp2?
 
Huyu mswahili ni ngono tu!
Waliooa inasemekana kwa kawaida wanafanya tendo la ndoa mara 2 au 3 kwa wiki.Mme mmoja mke mmoja.
Sasa huyu times 2,inamaana wiki nzima yuko shughulini,maendeleo yatatoka wapi.
 
..ivi unadhani ugonjwa ulio na ww kila mtu anao? Unazungumza ujinga mbele ya marijali unadhani sisi tuna magovi kama ww sisi tumetahiriwa na tumekandwa kwa mafuta ya nazi yamotoo ww hilo govi lako ndio lina kutoa nguvu na hamu ya kusex na hayo mambege na changaa unazokunywa ndio kabisaa huna hata fikra kama una mke na mke anataka kuhudumiwa shauri yako wenzako wanakununulia mbege ulewe wakusaidie kumhudumia mkeo hatari zaidi inayo kuja ipo siku watakushughulikia ww mwenyewe na sijui kama uko salama...
 
Wacha nibaki msomaji tu hapa,maana nikimjibu huyu pimbi Yaya Toure ntakula ban,

Nashangaa unachukia waislam na jina lako hapa unatumia la muislam,baniani mbaya sio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom