faby
JF-Expert Member
- Feb 18, 2011
- 2,214
- 767
We Yaya Toure kum..... Ahh bora ninyamaze naogopa ban
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi sana kuwa na miviongozi miislamu
Ulitaka aambatane Na nani nahawara kama slaa au
Kazi sana kuwa na miviongozi miislamu
mwisho wake wanne ndo kwanza yuko nusu
kwahiyo jamaa anamiliki papuchi mbili
...Kahba mkubwa ww huna dini wala dunia hapo ulipo unatamani uwe mke wa tatu wa mzee lakini ujue mzee anajiheshim hawezi kuowa kahba fuska kama ww mshenzi mkubwa tena ukome kukebehi uislam
..Mjinga na mshamba ni ww unae fuatilia na kijadili maisha binafsi ya watu. Niambie amevunja sheria ya dini yake ya nchi,sheria ya mila au ya sherehe? Au unatamani uwe mke wa3 wa makamo?povu limekutoka sana wewe kaka, mpaka mashavu yatakuuma.
Kubali ukatae makamu wa rais kafanya ujinga sana tena ni ushamba ulipopililiza:
utakujaje kwenye public ceremony na wake wawili ilhali wewe ni kiongozi wa umma?
Ni ushamba tu huo tena uliopitiliza.
Mambo ya fourth ladies hatuyataki.
Du kunamijitu mipumbavu humu bora ni Yule anayekuja Na wakeze au Yule anayekuja Na vimada kila kukicha. Ndo mana viongozi wengi wa kikristo wanaukimwi sababu ya kupenda vimada. Huyu Mzee muadilifu mnaanza kuleta maneno mlitaka aende pale Na mama zenu
Ni ufujaji wa fedha za walipa kodi, angekwenda na mmoja kisha safari nyingine akipata anakwenda na mwingine. Sasa hao wote wawili anaweza kuwakung'uta kwa pamoja??? Ni kutafuta watu kukusema pasipo sababu.
Huyu mswahili ni ngono tu!
Waliooa inasemekana kwa kawaida wanafanya tendo la ndoa mara 2 au 3 kwa wiki.Mme mmoja mke mmoja.
Sasa huyu times 2,inamaana wiki nzima yuko shughulini,maendeleo yatatoka wapi.