Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
HOTUBA YA MWISHO WA MWAKA YA RAIS SAMIA
itakuwa hiv......[emoji116]
...[emoji117]tumefanikiwa kupokea wagen wengii kwa mwaka mzima
....[emoji117]tumefanikiwa kuipromote jinsia ya kike uko dunian
....[emoji117]tumefanikiwa kukamata magaid ya ndani ya nchi
....[emoji117]tumewakomesha wavujishaji wa taharifa za ikulu, mfano bwana yule wa 2014 na mwenye icon ya Jz with kenyan flag
...[emoji117]tumefanikiwa kuunda njia za kukusanya kodi na kuwaziba midomo wa tz wasilalamike
....[emoji117]tumegawa chanjo za bure kwa wingi na weredi mkubwa
.....[emoji117]tumejenga mabarabara mengi(lkn hayajulkan[emoji28][emoji28])
.....[emoji117]tumefanikiwa kusafiri nchi mbalmbal ambazo kipind cha bwana yule hatukuwai fanya
....[emoji117]tumedumisha mahusiano na majirani
... .[emoji117]tumepambana na machinga pia wale wanaofanya biashara na uhujumu ktk barabara za magari mijini
.....[emoji117]tumefanikiwa kuunda royal tour[emoji28]
......tumefanikiwa kukomesha ziara za kikazi za rais uko mikoani ili kupunguza gharama zisizo za msingi
.....[emoji117]tumeipromote Zanzibar[emoji28]
Asanteni ndugu wananchi kazi iendelee[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sent from my SM-G935V using JamiiForums mobile app