Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Mabalozi Mmetuthibitishia kwa vitendo Uzalendo wenu kwa taifa letu Mungu awabariki,na wale wasio Wazalendo bado kwa taifa Mungu awaangazie watambue thamani ya Uzalendo kwa taifa
 
Amechaguliwa na nani?
Kwenye yale mauaji ya ndugu zetu au nani alimchangua?
Acha waparuane tena hakutakiwa kujiuzulu ilibidi atangulizwe futi sita aje mwingine
Sasa akitangulia futi sita akaja mwingine mhafidhina kuliko yeye huoni kuwa hujabadilisha kitu hapo, na pengine hata umeharibu zaidi?

Mpaka sasa kama hupendi uongozi huu hujaelewa kuwa tatizo ni mfumo, tatizo si mtu mmoja?

Umeandika kama mtu anayetafuta kisasi kwa kuwa emotional, si mtu anayepanga mkakati wa kubadili mfumo wote wa utawala wa CCM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…