Kwani yeye hatamani mabadiliko?Sababu aliyotoa ameona Mkuu wake anatamani mabadiliko.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
Ifike pahala Samia na watu wake wanao ibagaza Tanganyika watambue kuwa, kujiudhuru kwa viongozi wake
Samia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Kaka hakuna jambo baya sana kama mapinduzi yanapofeli. Kila shimo litafukuliwa, kila jiwe litapinduliwa na kila kichaka kitafyekwa kuona kilichomo.
Sio issue hataMkuu kwamba !!Kaka hakuna jambo baya sana kama mapinduzi yanapofeli. Kila shimo litafukuliwa, kila jiwe litapinduliwa na kila kichaka kitafyekwa kuona kilichomo.
Sio issue hata Kenya Makamu wa Rais Gashagwa aliondolewa na kuja mwingine, Kindiki.
Oooh kumbe MAPINDUZI kufelii....
Walimchagua?Nchimbi amewasaliti watu waliomchagua.
Hapa wataenda kupewa makamu wa rais wa kuteuliwa wakati mtu aliyechaguliwa kajiuzulu na hata sababu hajatoa.
Yaani kama movie vile.Mh!
Basi kweli niko nyuma.
Kirahisi tu hivyo kwa Nchimbi!
Anasema Samia alitamani kubadilisha makamu wakeKwani yeye hatamani mabadiliko?
Wananchi wenyewe wengiwao ni wasengerema tu mengi hayajitambui kabisa.Inasikitisha sana taifa linavyochezewa huku wananchi wakizidi kutaabika
Hiyo si sababu hiyo ni excuse ya kuwapa wajinga.Sababu ni hiiView attachment 3656569
Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Nasubiri pia Lameki Nchemba ni swala la muda tuSamia hatambui kuwa ,,,Huku ku resign kwa viongozi wake waandamizi , Kuna mchafua yeye mwenyewe! ...(Job Ndugai, Philip Mpango, Majaliwa) Sasa Makamu wake Nchimbi!
Nchimbi ni presidential material plz tunaomba asife kama Ndugai, ee Mungu tusaidie kwa hili tu sisi Watanganyika.
Zipo nyingine zaidi ya 10000,ikiwepo ya chinjachinja Watanganyika,tekateka,potezapoteza,kesi mchongo,Utawala mbovu,hita kiji la katiba mpya n.kSababu ya kujiuzulu
Alimhaidi kuwa atamsaidia hadi pale ambapo atamchoka. Sasa amejidhirisha kuwa amemchoka. Hivi nini huelewi, unakuwa kama mtoto mdogoHiyo si sababu hiyo ni excuse ya kuwapa wajinga.
Mabadiliko gani?
Yani anataka kutuambia kachaguliwa kuwa Makamu wa Rais halafu siku Rais akiamua tu "Leo nimekuchoka" anakubali kujiuzulu?
Mimi nisinge achia Hilo na uhakika nalo nisinge achia madarakaKumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.