Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Nini hujui???? Yeye ni Msaidizi wa Rais hata PM! Ndiyo maana huwa wanaweka suti maofisini mwao maana anytime Rais anaweza kukutuma popote. Hivyo kama amekuchoka atakuondoa tu
Makamu wa Rais ni zaidi ya msaidizi wa Rais.

Makamu wa Rais ni mbia wa Rais. Ana ubia katika urais kwa sababu kikatiba anachaguliwa pamoja na rais.

Tofauti na PM ambaye anateuliwa tu na Rais, na hivyo anaweza kuondokewa saa yoyote na Rais..

Makamu wa Rais hateuliwi na Rais, anachaguliwa na wananchi siku moja anapochaguliwa Rais, at least in principle.

Huelewi wapi hapo kuwa huyu si msaidizi wa rais tu kama PM?
 
Nchimbi kukubali kijiuzulu, wakati kachaguliwa na wananchi, ni ujinga mkubwa sana.

Namna pekee nitakayomuelewa ni labda kama kaogopa watamuua tu.

Na hata hiyo alitakiwa hata kukimbilia nje na kusema, si kujiuzulu kifala hivi.n
Nchimbi hajachaguliwa na wananchi, alichaguliwa na ccm ndipo wananchi mkampigia kura kwa mgongo wa samia.

Mfano kipindi cha JPM, samia hakuchaguliwa na wananchi ila alipita kwa mgongo wa JPM
 
cc Erythrocyte.,

it was really Sir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…