ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ilikuwa ni suala la mda tuu ,ufukuzwe au ustaafu Kwa hiari walau Kwa Heshima kidogo.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Chuma kichwani unaambiwa chagua 1🤔
Asalam aleikum ndugu zangu wazazibari
Zile speech zake za mabadiliko tena mbele ya camera zinaendana na kauli za Lissu za kukinukisha...ni kauli fulani ambazo unaona kama muhusika alifanya kusudi ili mchoro fulani ukatimizwe.Umeunganisha doti kiintelijensia sana! Kumbuka hata ile kauli yake ya nyuma kuhusu katiba mpya ilivyoleta mtikisiko. Lazima kuna trap ilitegwa na mshkaji akaingia mzima mzima mzima.
Ukiangalia kwa jicho la tatu, utagundua kabisa kuwa mchezo ulichezwa kimkakati sana. Hakuna kiongozi wa ngazi hiyo anayeachia ngazi kirahisi hivyo nchini kwetu bila kushikwa pabaya. Security threats au hata tishio la kuchafuliwa vibaya kisiasa lazima vilikuwepo mezani, naona kabisa aliamua kupiga hesabu za haraka akaona it's not worth the fight.
Alisimama kumnadi kampeni za 2015 kutoka kumwita fisadi papa anayetakiwa kufungwaKuhoji Lissu alimsafishaje Lowassa ishakuwa ni mahaba?
Maneno tu hayo 😁“Mtu dhaifu mara nyingi hujiona anatisha, kwa sababu hajawahi kuona watu wenye nguvu wakiamua kunyamaza.”
Mapenzi tuKumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.
Siku hizi amekuwa anawasilisha sana upumbavu wake bila kifichoNlkua namheshimu huyu jamaa ni moja ya watu wapumbavu zaidi jamii forum
Unajua kuna wapukbavu tunawajua ila wapumabvu waerevu waogope sana
Sema tumepata pigo maana huko sasa yatajaa machawa matupu. Nchi ya kipuuzi sana hii.Nchimbi angemuwekea hata sumu ya kumuua polepole hilo lishetani lililojimilikisha nchi
Wanasemaga kabla hujaingia kwenye maji kuvuka mto unadumbukiza fimbo kuona kina kwanza.Kwani yeye hatamani mabadiliko?
Nami nimewaza hivyo,ama mbowe atakua sehemu ya so called maridhiano.Anaweza kuwa ametishiwa maisha, hii Nchi ngumu sana
Naona dalili ya Serikali mseto soon baada ya kumuona Mbowe kule kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere
Lakini sio wa Imani na itikadi moja tu tena kwa kufuatana.Kila Mwanadamu atakufa muda wake ukifika na kwa mapenzi ya Mungu
Jee ufisadi wa Lowassa unakumbuka CHADEMA kwenye ile list of shame iliyotolewa na Dr. Slaa ulikuwa unahusiana na nini?Alisimama kumnadi kampeni za 2015 kutoka kumwita fisadi papa anayetakiwa kufungwa
Huyo ni boya tu anasifa za kioga
ndo maana na wewe huwa kigeugeu tu humu kumbe ni mngoni?
Lissu na Dr Slaa walishaeleza hili jambo kwa uswazi na ufasaha, ni mkenge uliochorwa na Mwenyekiti wa zamaniJee ufisadi wa Lowassa unakumbuka CHADEMA kwenye ile list of shame iliyotolewa na Dr. Slaa ulikuwa unahusiana na nini?
CHADEMA kusema Lowassa ashtakiwe walikuwa wanatega mtego ambao CCM hawakuingia... Kuna mengi huyajui.
Huyu mama amewaangusha sana wanawake wenzie. hata zile kelele mara wanawake tunaweza mara sjui nini hazisikiki tena kwasasa, coz Boss ashayatindinganya mambo. Nilipatapo kumsikia mwanamama mmoja akisema Kutokana na jinsi anavyoongoza haamini tena kama wanawake wanaweza kuongoza madaraka makubwa kama UraisMuda wake utafika tu.
Kwanza kwa sasa legacy yake ishakufa na ni chafu.
Ataondoka kwa aibu
Labda tusikie kauli rasmi ya JamiiforumsHii barua inamakosa mengi sana.
Wekeni audio/video kama ipo otherwise tusiamini.... kwasababu hii barua ilitakiwa iwe na ushahidi wa barua nyingne (attached document) kwa Mujibu wa maelezo ya barua ukiisoma.
Tusiende haraka tusubri kauli ya mdomo