Makamu wa Rais Dkt. Mipango: Baadhi ya vijana hawaitii Serikali

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya...

“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.

Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.”
-

-------

Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.

Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.

Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa

Jambo la kufanya

Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.

Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.

Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi

Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.

Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji

Screenshot_20230807-131527.jpg
Screenshot_20230807-131527.jpg
 
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya....

View attachment 2710970View attachment 2710971
Tano: tuondokane na CCM mapema!
 
Huko CCM ndo kuna Chawa wa mama mwenye nyumba au nimekosea.
 
Kosa liwe kwa wazee wasingiziwe vijana,??

Ni kijana nani ametajwa kuwa fisadi?

Badala yake tunasikia majina ya mizees tu ndo inayopola pesa zetu!

Labda kosa la vijana ni kuwaombea wazee hao Mungu awatwae, hiyo ndo inaweza kuwa tumekosa uzalendo kuwaombea kutwaliwa wazee wetu mafisadi
 
Naungana na mh.makamu wa Rais Dr.Mpango kutukemea baadhi ya vijana wa taifa hili.....

Hakika kunahitajika SANA kufundisha fikra za kizalendo kwetu mathalani unategemea nini kwa KIJANA anayeishi kwa "kubet-kuweka mikeka" awe mzalendo ,mtiifu na mthamini KAZI YENYE KIPATO KIDOGO?!! Thubuutuuu

Soko huria na mambo yake.....[emoji1787]

#SiempreDr.PhilipMpango[emoji120]
 
Takukuru na wizara ya elimu hebu fanyeni HIMA kuingiza hiyo mitaala ya KUKURU shule za msingi[emoji120]

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kosa liwe kwa wazee wasingiziwe vijana,??

Ni kijana nani ametajwa kuwa fisadi?

Badala yake tunasikia majina ya mizees tu ndo inayopola pesa zetu!

Labda kosa la vijana ni kuwaombea wazee hao Mungu awatwae, hiyo ndo inaweza kuwa tumekosa uzalendo kuwaombea kutwaliwa wazee wetu mafisadi
Sasa tabia ya kuropoka na kukosa maneno ya adabu ya ndugu yetu Mdude Nyagali amefundishwa na wazee wake ?!!![emoji15][emoji15]
 
MIONGONI MWA KUSHINDWA KUWAJIBIKA KWA umma huoneshwa na BAVICHA kwa kuiga tabia mbaya ya siasa za KIBAGUZI na UKANDA za mh.Mbowe dhidi ya mh.Rais SSH......

Huku ni kupotoka kulioje [emoji26]
 
Anamaanisha nini Kuitii Serikali ?

Nadhani issue ni kutii sheria au kuishi kwa wema na kutenda wema bila kuwaumiza wengine sababu hata sheria zinaweza zikakinzana na Wema...

Je serikali inatii Sheria na Haki
 
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya....

“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.

Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.”
-

-------

Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.

Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.

Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa

Jambo la kufanya

Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.

Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.

Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi

Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.

Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji
View attachment 2710970View attachment 2710971
Anajifanya Gombera?
Akomae na viongozi wenzake na taasisi zao.
 
NAENDELEA KUSEMA KUA... MFANO WA UADILIFU, UZALENDO NA UWAJIBIKAJI UANZIE KWA WATAWATALA!! HAIWEZEKAN KUJENGA TAIFA LENYE UTII, UZALENDO, UWAJIBIKAJI NA UADILIFU WAKATI WANAONA HUKO JUU WANAPIGA B'S ZA KUTOSHA!! REPORT YA CAG KILA IKITOKA NI MADUDU TU JE HAO VIJANA WATAJIFUNZIA KWA NAN KAMA SIO VIONGOZ WAO?
 
🤣🤣🤣🤣 Mpango naye!! Serikali inapaswa kuwatii wananchi ambao ndio waajiri wa hiyo serikali na sio kinyume chake. Huyu mzee ana viimani vya kidekteta huyu.
 
Back
Top Bottom