Makamu wa Rais Dkt. Mipango: Baadhi ya vijana hawaitii Serikali

naona kaamua kuwasema uvccm!

Hivi kiukweli ni yapi majukumu ya makamu Rais

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Naendelea kusema kua... Mfano wa uadilifu, uzalendo na uwajibikaji uanzie kwa watawatala!! Haiwezekan kujenga Taifa lenye utii, uzalendo, uwajibikaji na uadilifu wakati wanaona huko juu wanapiga B's za kutosha!! Report ya CAG kila ikitoka ni madudu tu je hao vijana watajifunzia kwa nan kama sio viongoz wao?
Mkuu hii ungeandika kwa herufi kubwa kabisa ili kila mtu aisome.
 
Mh Makamu amesahau
DNA haidanganyi Baba Mwizi lazima Mtoto atarithi Wizi
 
UNAPASWA kutii sheria.

HUPASWI kutii serikali.

Ndio maana serikali ikikwambia ondoka hapo keenye hilo eneo, unaweza kukataa kutii, wakikuondoa kwa nguvu unakwenda mahakamani na ukishinda wanakurudiishia eneo lako na fidia juu.

Kiongozi wa Ulaya akikosea akatamka sentensi OBEY THE GOVERNMENT wananchi walio jeshini watalipua bomu la nyuklia!

Profesa sijui dokta Mpango hajui hiki kitu. Hawa viongozi wetu, kila akiteuliwa, anapaswa kwenda kozi ya miezi mitatu kujifunza viwango vya dunia vya utawala bora.
 
Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya...

“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.

Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.”
-

-------

Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.

Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.

Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa

Jambo la kufanya

Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.

Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.

Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi

Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.

Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji

View attachment 2710970View attachment 2710971
Ajiajiri na yeye
 
Saa 100 ndo wamewafanya wa Tanzania mbele ya dunia waonekane hawajji chochote, watanznaia hatuna tunaChoweza ,kwa mfano sehem ndogo tu kama banadri imetushinda
 
Back
Top Bottom