Tano: tuondokane na CCM mapema!Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya....
“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.
Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.” -
-------
Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.
Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.
Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa
Jambo la kufanya
Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.
Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.
Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi
Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.
Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji
View attachment 2710970View attachment 2710971
Huko CCM ndo kuna Chawa wa mama mwenye nyumba au nimekosea.Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya....

Unamsema dada Erthyrocyte chawa PROMAX wa mh.Mbowe ?!!!Huko CCM ndo kuna Chawa wa mama mwenye nyumba au nimekosea.
Sasa tabia ya kuropoka na kukosa maneno ya adabu ya ndugu yetu Mdude Nyagali amefundishwa na wazee wake ?!!![emoji15][emoji15]Kosa liwe kwa wazee wasingiziwe vijana,??
Ni kijana nani ametajwa kuwa fisadi?
Badala yake tunasikia majina ya mizees tu ndo inayopola pesa zetu!
Labda kosa la vijana ni kuwaombea wazee hao Mungu awatwae, hiyo ndo inaweza kuwa tumekosa uzalendo kuwaombea kutwaliwa wazee wetu mafisadi
Nje ya CCM kuna UKABILA NA UMAJIMBO.....Tano: tuondokane na CCM mapema!
.....silaumu JKT kama nisivyolaumu waingiao makanisani na misikitini kutwa halafu wasiwe na athari yoyote chanya kwa USTAWI WA JAMII......Kwa bahati mbaya mafisadi yote ya Taifa hili yamepitia JKT pia
Anajifanya Gombera?Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya....
“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.
Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.” -
-------
Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.
Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.
Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa
Jambo la kufanya
Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.
Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.
Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi
Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.
Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji
View attachment 2710970View attachment 2710971
NAENDELEA KUSEMA KUA... MFANO WA UADILIFU, UZALENDO NA UWAJIBIKAJI UANZIE KWA WATAWATALA!! HAIWEZEKAN KUJENGA TAIFA LENYE UTII, UZALENDO, UWAJIBIKAJI NA UADILIFU WAKATI WANAONA HUKO JUU WANAPIGA B'S ZA KUTOSHA!! REPORT YA CAG KILA IKITOKA NI MADUDU TU JE HAO VIJANA WATAJIFUNZIA KWA NAN KAMA SIO VIONGOZ WAO?Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya...
“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma.
Hili ni tatizo kubwa ambalo matokeo yake ni makubwa kwa taifa kama halitashughulikiwa ipasavyo.” -
-------
Naungana na Makamu wa Rais, Taifa la Tanzania Lina nguvu kazi kubwa Sana ya vijana Ila miongoni mwao ni vijana WA ovyo sanaaaa kama alivyosema Makamu wa raisi.
Vijana wengi waliobahatika kupata fursa za ajira hasa serikalini wengi wao ni wezi,wadokozi wa Mali za umma Kwa Tamaa zao.
Waliokosa ajira pia ambao wako mtaani nao pia ni janga kubwa Sana Kwa taifa
Jambo la kufanya
Kwanza kurekebisha mifumo yetu ya ajira maana mifumo iliyopo ni ya ovyo Sana wenye elimu na uwezo wako nje ya mifumo Ila vibaka na wenye mitandao ya ovyo wako uko waliko vibaka wenzao.
Pili mfumo wa vetting Kwa wateule nao ni ovyo Sana ndio maana nyakati Fulani tuliwapata wakina Sabaya,makonda Hally happy na wengine wengi na sasa tuna akina msando na wengine wengi.
Tatu,JKT irudishwe shule ya msingi
Nne, watoto wa Makamu wa raisi, Rais waziri mkuu wabunge madiwani na mawaziri wasome shule moja na watoto wetu ili kuondoa kasumba wakina Makamba kusoma nje kuonekana wanavalue kuliko wetu.
Tano.
Sita.
Saba
Nane
.....ongezea msomaji
View attachment 2710970View attachment 2710971
Watanzania akili mgando sana.Nje ya CCM kuna UKABILA NA UMAJIMBO.....
Nje ya CCM hakuna NEEMA yoyote kwa watanzania......