Makamu wa Rais Dkt. Mipango: Baadhi ya vijana hawaitii Serikali

naona kaamua kuwasema uvccm!

Hivi kiukweli ni yapi majukumu ya makamu Rais


JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Mkuu hii ungeandika kwa herufi kubwa kabisa ili kila mtu aisome.
 
Mh Makamu amesahau
DNA haidanganyi Baba Mwizi lazima Mtoto atarithi Wizi
 
UNAPASWA kutii sheria.

HUPASWI kutii serikali.

Ndio maana serikali ikikwambia ondoka hapo keenye hilo eneo, unaweza kukataa kutii, wakikuondoa kwa nguvu unakwenda mahakamani na ukishinda wanakurudiishia eneo lako na fidia juu.

Kiongozi wa Ulaya akikosea akatamka sentensi OBEY THE GOVERNMENT wananchi walio jeshini watalipua bomu la nyuklia!

Profesa sijui dokta Mpango hajui hiki kitu. Hawa viongozi wetu, kila akiteuliwa, anapaswa kwenda kozi ya miezi mitatu kujifunza viwango vya dunia vya utawala bora.
 
Ajiajiri na yeye
 
Saa 100 ndo wamewafanya wa Tanzania mbele ya dunia waonekane hawajji chochote, watanznaia hatuna tunaChoweza ,kwa mfano sehem ndogo tu kama banadri imetushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…