Fikiria wanauza kwa sababu vitu vingine vimepanda Bei na hakuna hela ,watoto wanataja Ada ,na mahitaji mengine je kufikia hapo mwanachi kwnn asiuze mazaoWananchi washaambiwa waweke akiba wao sio watoto kwamba hawaelewi, wakiamua kuuza nje basi wajiandae na athari sio kila kitu wafanyiwe kana kwamba hawana brain za kuendesha maisha yao.
Leo hii una gunia zako 20 za mahindi ndani unauza zinabaki gunia 5 watu wanakushauri kwamba kuna dalili ya uhaba wa mahindi hivyo usiuze tena weka akiba yako ya chakula, wewe bado unauza unataka mpaka watu waje kwako wakufungie mlango kwamba usitoe gunia lingine kuuza?
Mipaka isifungwe maana hamna mtu analazimishwa kuuza mazao wanauza wenyewe watanzania wanapenda sana kudekezwa.
Wananchi washaambiwa waweke akiba wao sio watoto kwamba hawaelewi, wakiamua kuuza nje basi wajiandae na athari sio kila kitu wafanyiwe kana kwamba hawana brain za kuendesha maisha yao.
Leo hii una gunia zako 20 za mahindi ndani unauza zinabaki gunia 5 watu wanakushauri kwamba kuna dalili ya uhaba wa mahindi hivyo usiuze tena weka akiba yako ya chakula, wewe bado unauza unataka mpaka watu waje kwako wakufungie mlango kwamba usitoe gunia lingine kuuza?
Mipaka isifungwe maana hamna mtu analazimishwa kuuza mazao wanauza wenyewe watanzania wanapenda sana kudekezwa.
Aliyekwambia uwe mjini ukicheza pool kutwa nzima nani? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna wewe mcheza pool uonewe huruma kwa kumkandamiza mkulima asiuze mazao mahala atakapo?Wewe kama ni kiongozi, basi ni mmoja wa wale irresponsible leaders!
Ni Serikali gani inayoweza kuwaacha wananchi wafe kwa njaa kwasababu waliuza vyakula vyao kwa hiari yao?
Aliyekwambia uwe mjini ukicheza pool kutwa nzima nani? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna wewe mcheza pool uonewe huruma kwa kumkandamiza mkulima asiuze mazao mahala atakapo?
Mpumbavu sana wewe tabu aipate babu yangu au wako kule kijijini halafu utake mazao akuuzie kwa bei ya kukunufaisha wewe mlaji tena inaonekana unataka upewe hata bure,waswahili tuna shida kubwa sana tatizo serikali ilitulemaza kwa kumnyonya mkulima ikimpa nafuu kubwa asiyelima sasa imeamua itende haki.Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.
Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Kabla ya kutegemea kiongozi awe responsible, wewe mwananchi inatakiwa uwe responsible sio kila kitu mpaka kiongozi aseme.Wewe kama ni kiongozi, basi ni mmoja wa wale irresponsible leaders!
Ni Serikali gani inayoweza kuwaacha wananchi wafe kwa njaa kwasababu waliuza vyakula vyao kwa hiari yao?
Wapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika kufyeka pori, kulima na kupalilia. Hawajui bei ya pembejeo eti leo wanalalamika mahindi na Michele vinakwenda nje ya mipaka ya Tanzania.Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.