Makamu wa Rais Dkt. Mpango asema wananchi waweke chakula huku mipaka hawajazuia kupeleka nje ya nchi

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.

Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Soko huria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria wanauza kwa sababu vitu vingine vimepanda Bei na hakuna hela ,watoto wanataja Ada ,na mahitaji mengine je kufikia hapo mwanachi kwnn asiuze mazao
Hapo Cha kufanya ni kupunguza gharama ya vitu vingine ili mtu aweze kujikimu kulingana na hali halisi kw wananchi na si vinginevyo
Hoja Yako Haina mashiko. Mkulima anacho jua yeye ni kulima kuuza.
Hata hizo gharama za bidhaa nyingine zikishushwa wapo watakao uza hadi akiba
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.

Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Vyakuri Bei juu lakini pesa ipo me naona fresh kuliko Ile debe la mahindi alfu 5 lakini kuipata tano hiyo mh
 
Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.

Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Unataka nani akutunzie chakula? Bwege kweli
 
Back
Top Bottom