YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Uko sahihi kilimo kuheshimika ni beiWapumbavu wanaishi Dar es Salaam na mijini wanataka wanunue unga kilo Tsh 1,000 milele. Hawajui mkulima anavyohangaika kufyeka pori, kulima na kupalilia. Hawajui bei ya pembejeo eti leo wanalalamika mahindi na Michele vinakwenda nje ya mipaka ya Tanzania.
Huu ndiyo wakati wa mkulima wa Tanzania kupata bei nzuri, hakuna kufunga mipaka. Chakula kikiisha na sisi Tanzania tutanunua nje ya Tanzania. Vile vile kama tutauza nje basi soko litakua hivyo basi watu wengi watajishirikisha na kilimo
Mkulima anatakiwa atajirike akiwa huko kijijini .Watu wanahama vijijini kila siku sababu hawaoi faida ya kilimo.Kilimo kichwa kama bei za vitu vingine vinavyoachwa bei huria
Wapaka poda wa mjini wakiona kilimo kinalipa tutaanza kuona exodus ya watu kuhama mijini kwenda kulima vijijini