Soko huriaMakamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.
Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Sahihi kabisa
Hoja Yako Haina mashiko. Mkulima anacho jua yeye ni kulima kuuza.Fikiria wanauza kwa sababu vitu vingine vimepanda Bei na hakuna hela ,watoto wanataja Ada ,na mahitaji mengine je kufikia hapo mwanachi kwnn asiuze mazao
Hapo Cha kufanya ni kupunguza gharama ya vitu vingine ili mtu aweze kujikimu kulingana na hali halisi kw wananchi na si vinginevyo
Vyakuri Bei juu lakini pesa ipo me naona fresh kuliko Ile debe la mahindi alfu 5 lakini kuipata tano hiyo mhMakamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.
Kauli ya mpango inautata mkubwa kwani huwezi kuambia wananchi watunze chakula huku mipaka serikali imefungua na bado chakula kinapelekwa nje ya nchi leo makamu wa rais amekumbuka jua limeshachomoza asubuhi gharama za vyakula kwa sasa hazishiki mfano ni unga mchele na mahitaji mengine bei zipo juu kuwahi kutokea tangu tupate uhuru.
Unataka nani akutunzie chakula? Bwege kweliMakamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amewataka wananchi mkoani Kilimanjaro kuweka akiba ya chakula kutokana na mazao yaliyolimwa mwaka huu kukauka kwa kukosa mvua.