Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.
Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua gari la huduma tembezi za Afya (Mobile Medical Services) litakalo wezesha kutoa huduma kwa wananchi wakati wa dharura, gari hilo linalomilikiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Pia, soma: Muhimbili kuanza Upandikizaji Mimba Novemba 2023