Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Watoto watakao tokana na mbegu za baba mmoja wakiwa wakubwa wakaoana sijui inakuaje hapo
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.

Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua gari la huduma tembezi za Afya (Mobile Medical Services) litakalo wezesha kutoa huduma kwa wananchi wakati wa dharura, gari hilo linalomilikiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.

View attachment 3094067View attachment 3094068
Huyu jamaa anakula pesa ya nchi bure, Hana faida yoyote katika nchi
 
Kizazi cha Nyoka kitazaliwa kwa wingi nyakati zinazokuja.
Bwana , Yesu Kristo uturehem haukuwa mpango wako tangu uumbaji wako .
Ni akili za binadamu na mpango wa yule Muovu kuendeleza uzao wake usiotokana na Asili ya uumbaji.
 
Hii huduma itatumika vibaya na wadangaji hapa mjini.

HII HUDUMA HAIKUWA NA UHALALI WOWOTE KUWEPO HAPA NCHINI MANA NI USELESA NA MATOKEO YA KUZALIWA WATOTO WASIO KUWA NA UPANDE WA BABA.
 
Back
Top Bottom