Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Makamu wa Rais Dkt Mpango azindua kituo cha upandikizaji Mimba na Gari la huduma tembezi za Afya

Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili

Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke

Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Mbona unaongea kana kwamba hii nchi ni ya waislamu pekee yao....au kana kwamba ni sheria kuwa kila mtu afanye.......bado inabakia kuwa ni uamuzi wa mtu binafsi
 
IVF ni procedure ya kupandikiza mimba na Surrogacy ni mtu mwingine anabeba mimba kwa niaba ya kwa kupitia IVF. Mkeo anaweza fanyiwa IVF kwa kutumia mbegu zako hasa zikiwa hazina speed ya kufikia eneo la tukio kwa wakati.

•Surrogacy - A process in which a woman carries and delivers a child for a couple or individual. •Surrogate mothers are impregnated through the use of in vitro fertilization (IVF) •A legal contract is required for intended parents and their carrier before medical treatment begins.
Both cases IVF is performed.
 
Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili

Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke

Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Kwani IVF haikutanishi manic na mayai?
Kama.hujui kitu kaa kimya
 
sasa si ni huko mambele mkuu, huku kwetu hatujawai kuwa na hcho ktu kwa hyo lazima tuone ni kikubwa.
IS IT A NEED OR WANT?
KUNA VITU VINGI SANA BADO HAVIJAKAA VIZURI,HAWA WA KUTAFUTA WATOTO NI WALE WENYE NAFASI,MASKII WENGI BADO WANAJITAFUTA HATA KUNUNUA DOSE KAMILI YA ANTIBIOTIC
 
Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili

Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke

Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Wataenda tu
 
IS IT A NEED OR WANT?
KUNA VITU VINGI SANA BADO HAVIJAKAA VIZURI,HAWA WA KUTAFUTA WATOTO NI WALE WENYE NAFASI,MASKII WENGI BADO WANAJITAFUTA HATA KUNUNUA DOSE KAMILI YA ANTIBIOTIC
Hatuwez kusubiri maskini wote wajipate ndo tufanye mambo makubwa mkuu, maskini hawatakaa waishe chn ya jua.
 
tunashukuru serikali ya awamu ya sita kwa kuleta hyo huduma hapa nchini, maana wananchi walikuwa wanasafiri maelfu ya km kufuata huduma hyo.

waangalie tu kwenye gharama za hyo huduma, maana mara nyingi gharama huwa ni kipengele.

Mmmmh
Mbona zipo hata za jijini ilipo hiyo!!!
 
Back
Top Bottom