HUMAN ERROR
JF-Expert Member
- Sep 8, 2024
- 318
- 627
AkumbukweInatakiwa apatikane Rais ambaye atafuta hayo majina yote na kuweka majina ya maeneo husika. Haiwezekani mtu mmoja akawa na majina kwenye miradi 100
Hata Majirani zetu hapo wanatucheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AkumbukweInatakiwa apatikane Rais ambaye atafuta hayo majina yote na kuweka majina ya maeneo husika. Haiwezekani mtu mmoja akawa na majina kwenye miradi 100
Hata Majirani zetu hapo wanatucheka
Vipi dini inasemaje kuhusu internet?Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili
Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke
Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Bid'daa tupuVipi dini inasemaje kuhusu internet?
LINA UKUBWA GANI HILI JAMBO?Kwa mujibu wa katiba ya tz, makamu wa rais si chochote wala lolote, msimlaumu, hzo ndo kazi zake tena hapa kala shavu. ilitakiwa rais ndo akazindue maana hilo ni jambo kubwa sana kwa makamu wa rais kufanya.
Likikufika wala hutowaza dini -- mtoto kwanzaa kisha mwendelezo wa ibada -Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili
Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke
Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Acha unafiki Sheikh! Wale walimu wenzako wa madrasa wanao walawiti watoto wadogo, wameruhusiwa na dini gani?Uislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili
Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke
Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Kwani kuna tofauti gani katı ya surrogacy na IVF?Bora surrogacy kuliko IVF.
Waanze kupandikiza meno kwanza mimba mbona rahisi tu kupandikiza?Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization)
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof Mohamed Janabi akiwa anazungumza na wanahabari Jijini Dodoma akielezea utekelezaji wa shughuli za Hospitali ya Taifa Muhimbili na mwelekeo wa mwaka 2023/24.
Prof Janabi amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imekamilisha ununuzi wa mashine za kusaidia upandikizaji mimba zilizogharimu Shilingi Bilioni 1.
Uislamu ulikuwa zamani ,kwa sasa hakuna kabisa,kwanza ni uongozi kwa wanawake, halafu na wanang'ang'ania na kupambana na wanaoutaka pia, hapo tu inatosha tuendelee mbeleUislam Dini ya Hakhi hauruhusu hili
Njia pekee ya upatikanaji wa mimba ni kwa njia ya kukutanisha manii ya Mwanamume katika yai la mwanamke kwa njia ya kujamiiana ikihusisha dhakali ya Mume na Uke wa Mke
Ukafiri kabisa huu, Dr. Janabi anatujaribu kwa Mtihani huu
Kuna mahala uislam unaruhusu ulawiti? So hata wale ni Makafiri tu na walichokifanya ni UkafiriAcha unafiki Sheikh! Wale walimu wenzako wa madrasa wanao walawiti watoto wadogo, wameruhusiwa na dini gani?
IVF ni procedure ya kupandikiza mimba na Surrogacy ni mtu mwingine anabeba mimba kwa niaba ya kwa kupitia IVF. Mkeo anaweza fanyiwa IVF kwa kutumia mbegu zako hasa zikiwa hazina speed ya kufikia eneo la tukio kwa wakati.Kwani kuna tofauti gani katı ya surrogacy na IVF?
Surrogacy ndo IVF FYI.
Ndio maana ya Mtihani, tunapaswa kuushinda...linakufika jambo halafu unapaswa kusimama na neno / Quran inavyotakaLikikufika wala hutowaza dini -- mtoto kwanzaa kisha mwendelezo wa ibada -
Hivi Surrogacy haiwezi kutokea through sexual intercourse na surrogate mother?IVF ni procedure ya kupandikiza mimba na Surrogacy ni mtu mwingine anabeba mimba kwa niaba ya kwa kupitia IVF. Mkeo anaweza fanyiwa IVF kwa kutumia mbegu zako hasa zikiwa hazina speed ya kufikia eneo la tukio kwa wakati.
•Surrogacy - A process in which a woman carries and delivers a child for a couple or individual. •Surrogate mothers are impregnated through the use of in vitro fertilization (IVF) •A legal contract is required for intended parents and their carrier before medical treatment begins.
Nina mtu aliefanyiwa hii procedure mloganzila sasa mimba ina miezi 5 vipi au mloganzira ni tofauti? Zilimtoka kama 2mill+Hospitali ya Taifa ya Muhimbili iko mbioni kuanza kutoa huduma za upandikizaji mimba kwa mashine maalum (IVF - In vitro Fertilization)