Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Kwa mujibu wa katiba ya tz, makamu wa rais si chochote wala lolote, msimlaumu, hzo ndo kazi zake tena hapa kala shavu. ilitakiwa rais ndo akazindue maana hilo ni jambo kubwa sana kwa makamu wa rais kufanya.Huyu kabakia kufungua vituo vya afya na shule ndani ya nchi hana mgongo zaidi ya hapo.
Hiyo kazi hata raisi wa sasa ameifanya sana. Tafakari!Huyu kabakia kufungua vituo vya afya na shule ndani ya nchi hana mgongo zaidi ya hapo.
Wewe unafunguwa nini?Huyu kabakia kufungua vituo vya afya na shule ndani ya nchi hana mgongo zaidi ya hapo.
Wanawake kazi kwao kwenda kuchukua mimbaWatoto wa bila baba watanaanza kupatikana
Bila baba vipi,manii itatoka wapi!Watoto wa bila baba watanaanza kupatikana
Hatutoki kwenye reli, wote mliowateka muwaachie huru. Kama mmewaua wekeni taarifa zao hewani ndugu wafanye matanga.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.
Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua gari la huduma tembezi za Afya (Mobile Medical Services) litakalo wezesha kutoa huduma kwa wananchi wakati wa dharura, gari hilo linalomilikiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.
View attachment 3094067View attachment 3094068
wakachukue huko halafu mambo yakiwazidia waanze kutafuta mume mwenye hofu ya MunguWanawake kazi kwao kwenda kuchukua mimba
Majukumu haya ya mkasi ghafla nimemkumbuka Mohamed Gharib Bilal majukumu ya uzinduzi aliyafanya vyemaMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua kituo cha upandikizaji mimba (IVF) cha Dkt. Samia Suluhu Hassan kilichopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar Es Salaam.
Sambamba na hili , Dkt. Philip Isdor Mpango leo Septemba 12, 2024 amezindua gari la huduma tembezi za Afya (Mobile Medical Services) litakalo wezesha kutoa huduma kwa wananchi wakati wa dharura, gari hilo linalomilikiwa na Hospitali ya Taifa Muhimbili.
View attachment 3094067View attachment 3094068
maniii si utawazuia, kwani ukiwauliza umeshakuwa baba?Bila baba vipi,manii itatoka wapi!
Sio wote watakuwa hawana baba wengine donor watakuwa waume zaoWatoto wa bila baba watanaanza kupatikana
itafika mahali hata manii watatengeneza tuBila baba vipi,manii itatoka wapi!