johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mkuu Mpango ni mtu serious sana,hana utani kazini,so tusubiri mengi zaidi.Ni buffer nzuri kwa Samia ambaye ni mwanamke na mpole zaidi.Duh! Siasa bhana! Yaani Mpango huyu huyu anamuagiza Mwigulu! Tutakoma! Kwa hayo makusanyo ya trillioni 2 kwa mwezi, tutatendea haki.😇
Mama mwenyewe alisema jana kamuongezea Mpango majukumu 2, kumshauri kuhusu uchumi na kusimamia fedha za serikali, ambapo hapo awali hayakuwa majukumu ya VP, ana baraka zote kutoka kwa Mama hayo anayoongea. Acheni unafiki na kukurupuka wabongo, ujuaji mwingiii.Mpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.
Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.
Sio mkuu, kazi yake ni kumsaidia Rais.Mpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.
Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.
Hahahaaaa. Awamu ya 6 mwisho ni 2030!Mpango ameanza kutuma watu daah maisha haya tuheshimiane tu. Mama naye kawapiga biti wanaovizia kiti chake na wale wa majimboni
Mwenyekiti wa chama ameeleweka,Hahahaaaa....... Awamu ya 6 mwisho ni 2030!
Hahahaaaa. Awamu ya 6 mwisho ni 2030!