Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna mivutano kati ya Makatibu wakuu na Manaibu makatibu wakuu hasa naibu akihoji matumizi ya fedha!

Nyie mapimbi si mlisema marehemu Jiwe ameboresha nidhamu kwa watumishi wa umma ? Sasa we mataga hata maua hayajakauka mmeanza kuonyesha kasoro lukuki nyie wenyewe , watu waliposema walionekana wanatumiwa na mabeberu , aiseee aibu Sana kwenu .
 
Wow! Kaanza kuuma. Sina shaka naye Muha huyu,najua tutafika tu. Wale waliokaa chonjo kusubiri the reversal of Magufulis' stance are in for a disappointment. Watasubiri sana.
Umekuja kwa ID nyingine wewe Mzee wa Conspiracy theory
 
Mpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.

Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.
Ile ni Nature Mkuu...hatoweza kubadilika

Na ndio maana Mama kamteua,yule jamaa ukisikiliza sauti yake + kufuatilia mazungumzo yake na wengine ni mtu mmoja mkorofi sana.

Yaani ana ubabe ubabe flani ambao ni wa Hasira.

Na watu wa namna ile hawependi kupingwa..very toxic
 
Umekuja kwa ID nyingine wewe Mzee wa Conspiracy theory
Mimi siwezi kufanya conspiracy against anybody.Maana ya neno conspiracy yenyewe proves that.👇
Conspiracy: a secret plan by a group to do something unlawful or harmful.

Acheni kuimba nyimbo za watesi wetu ninyi.
 
Hivi mpango anaelewa mipaka ya Kazi yake? Amuulize Dr Omar Ally Juma la sivyo mama awe hana mpango wa kugombea 2025
 
Wow! Kaanza kuuma. Sina shaka naye Muha huyu,najua tutafika tu. Wale waliokaa chonjo kusubiri the reversal of Magufulis' stance are in for a disappointment. Watasubiri sana.
Huwez changia mpaka uweke kabila lake... Hivyo vitu vya ukabila nyerere alishavipiga vita miaka 50 iliyopita ila Leo karne 21 mnavitukuza... Ujinga mtupu
 
Mama mwenyewe alisema jana kamuongezea Mpango majukumu 2, kumshauri kuhusu uchumi na kusimamia fedha za serikali, ambapo hapo awali hayakuwa majukumu ya VP, ana baraka zote kutoka kwa Mama hayo anayoongea. Acheni unafiki na kukurupuka wabongo, ujuaji mwingiii.
Well said..
 
Huwez changia mpaka uweke kabila lake... Hivyo vitu vya ukabila nyerere alishavipiga vita miaka 50 iliyopita ila Leo karne 21 mnavitukuza... Ujinga mtupu
Hapo sikutumia kabila kwa nia mbaya mkuu,nimetumia kama kisifa.Wewe una yako.
 
Mpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.

Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.
Jana Rais MH Samia alieleza Kwamba atamtumia katika masuala mbali mbali ikiwemo Uchumi ACHA UCHONGANISHI
 
Back
Top Bottom