Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Umekuja kwa ID nyingine wewe Mzee wa Conspiracy theoryWow! Kaanza kuuma. Sina shaka naye Muha huyu,najua tutafika tu. Wale waliokaa chonjo kusubiri the reversal of Magufulis' stance are in for a disappointment. Watasubiri sana.
Ile ni Nature Mkuu...hatoweza kubadilikaMpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.
Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.
Hakika Chief.Mkuu Mpango ni mtu serious sana,hana utani kazini,so tusubiri mengi zaidi.Ni buffer nzuri kwa Samia ambaye ni mwanamke na mpole zaidi.
Mimi siwezi kufanya conspiracy against anybody.Maana ya neno conspiracy yenyewe proves that.👇Umekuja kwa ID nyingine wewe Mzee wa Conspiracy theory
Huwez changia mpaka uweke kabila lake... Hivyo vitu vya ukabila nyerere alishavipiga vita miaka 50 iliyopita ila Leo karne 21 mnavitukuza... Ujinga mtupuWow! Kaanza kuuma. Sina shaka naye Muha huyu,najua tutafika tu. Wale waliokaa chonjo kusubiri the reversal of Magufulis' stance are in for a disappointment. Watasubiri sana.
Well said..Mama mwenyewe alisema jana kamuongezea Mpango majukumu 2, kumshauri kuhusu uchumi na kusimamia fedha za serikali, ambapo hapo awali hayakuwa majukumu ya VP, ana baraka zote kutoka kwa Mama hayo anayoongea. Acheni unafiki na kukurupuka wabongo, ujuaji mwingiii.
Hapo sikutumia kabila kwa nia mbaya mkuu,nimetumia kama kisifa.Wewe una yako.Huwez changia mpaka uweke kabila lake... Hivyo vitu vya ukabila nyerere alishavipiga vita miaka 50 iliyopita ila Leo karne 21 mnavitukuza... Ujinga mtupu
Jana Rais MH Samia alieleza Kwamba atamtumia katika masuala mbali mbali ikiwemo Uchumi ACHA UCHONGANISHIMpango kazi yake ni kukata utepe,anafanya overtaking kwenye mazungumzo mpaka Mama Samia anakosa ya kuongea.
Naona anajiona yeye ndio Rais sababu Mama Samia ni Mwanamke!angalia anavyongea utadhani yeye ndio Rais.