ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Mada nyingine yaani..dah! Yaani VP yuko kimya ktk lipi lililopo chini ya majukumu yake?
Ina maana wewe hujui majukumu ya Mhe. Makamu wa Rais? Acha mambo yako. πππKwanini tuwe na hichi cheo kama hana majukumu yoyote?
Wanajikusanya kimya kimya kupanga mambo Yao gizani bt Mungu wa mbingu na Nchi anaipenda sana TANZANIA atatuvusha na wanaowaza Maslahi binafsi.Huyu ndie aliyekuwa waziri wa fedha. Anajua kila kitu. Mipango yote.
Alikuwa na JPM. Infact alifanya kazi nzuri sana wakati akiwa waziri wa Fedha. Hatetei, hapingi chochote. Yupo kulinda kibarua chake.
Amekuwa makamu Rais amekua Bubu.