Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

Makamu wa Rais, Dkt. Mpango mbona upo kimya sana?

Huyu ndie aliyekuwa waziri wa fedha. Anajua kila kitu. Mipango yote.

Alikuwa na JPM. Infact alifanya kazi nzuri sana wakati akiwa waziri wa Fedha. Hatetei, hapingi chochote. Yupo kulinda kibarua chake.

Amekuwa makamu Rais amekua Bubu.
Utumishi wa Umma ndivyo ulivyo ...unaweza kuonekana fàla ,ilhali wewe ni Jiniasi,au ukaojukikàna Jiniasi kumbe ni kiazi tu!
 
I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
Hao ndio waogope sasa , waulize waKenya Makamu Daniel Arap Moi alikuwaje chini ya Mzee Jomo Kenyatta ?
Baada ya Mzee Jomo kutangulia nini kilifuatia ? Fuatilia mwenyewe !
 
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!
Alishasema anaogopa, tangu lini mtu mwoga akajitokezz kusema lolote
 
Kazi inaendelea

IMG-20220508-WA0168.jpg
 
Ndio maana aliteuliwa hapo, angepew iyo nafasi mtu flani, rais asingeonekana
 
I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
Ukiona hivyo jua hajapewa nafasi, na akionyesha uwezo watajitahidi kumshusha walioko juu.

Hapo chini ilikuwa june 2021 ambapo majaliwa alizindua mpango wa maendeleo na kumkabidhi kikwete hiyo rasimu. Unadhani kwa nini asingekabidhiwa Dr Mpango wakati alikuwepo nchini.? Unadhani ilitokea tu? Nadhani we unaweza fanya tathmini yako.

Picha nyingine ni Dr Mpango (VP) kaenda kumsabahi kikwete ofisini kwake tena na mkewe. Je unadhani kakaa tu akainuka akaenda? Mbona Samia alipokuwa VP hakutoka na mumewe kwenda kumsalimia JK as official visit? Mbona Dr Gharib akiwa VP wa JK hakufunga safari kwenda masaki na mkewe kumsalimia Mkapa? Mbona Dr. Shein hakutoka na bi Mwanamwema Shein kwenda mikocheni kumsalimia mzee Mwinyi.?

Hiyo ni mipango ya watu ili kumpunguza spidi ya umakamu. Na ndio maana kila sehemu utamkuta mama. Iwe kuzindua semina au sherehe ya waandishi wa habari kama mama hayupo itasogezwa hadi arudi.
images (2).jpg
images (3).jpg
 
Ukweli ni kuwa SAMIA hafahamiki na hana umaarufu miaongoni kwa Watanzania ukizingatia anatokea Zanzibar.Ukimruhusu Mpango aonekane kila wakati-na tunaelekea katika uchaguzi atamfunika SAMIA mazima.
 
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!

Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
mwacheni dr Mpango,mafisadi ni genge hatari,imagine Mwigulu eti waziri wa fedha?,aibu kwa taifa langu
 
Magufuri
Dr. Mpango ni hewa ingine, awamu hii kwa upande wa viongozi tumekula hasara ya hatari!.

Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Magufuri alikuwa ameanda cabinet na bunge na maafisa mbali mbali wakutumika kutimiza lengo lake. Ndio maana alifanya kila umafya kuua upinzani na kuua wapinzani nchi ibaki na watu aliyowaanda kusema ndio kwa kila alichotaka ikiwa ni pamoja na kuextend muda wa kukaa madarakani kama alivyojifunza kwa Kagame na Mseven.....so kubaki na watu wa magufuri baada yake lazima uone gap la kiuongozi.....
 
Rais mwenyewe yupo kimya kwenye mambo ya kitaifa tunamuona anasafiri tu kuzindua filamu.

Hatumuelewi kabisa yaani.
 
Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!

Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
Mada nyingine yaani..dah! Yaani VP yuko kimya ktk lipi lililopo chini ya majukumu yake?
 
Back
Top Bottom