Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂🤣🤣🤣😅😅😆😆😁😄😄😃😀😀😀Kila Leo yupo Kigoma ku renew
Utumishi wa Umma ndivyo ulivyo ...unaweza kuonekana fàla ,ilhali wewe ni Jiniasi,au ukaojukikàna Jiniasi kumbe ni kiazi tu!Huyu ndie aliyekuwa waziri wa fedha. Anajua kila kitu. Mipango yote.
Alikuwa na JPM. Infact alifanya kazi nzuri sana wakati akiwa waziri wa Fedha. Hatetei, hapingi chochote. Yupo kulinda kibarua chake.
Amekuwa makamu Rais amekua Bubu.
Hao ndio waogope sasa , waulize waKenya Makamu Daniel Arap Moi alikuwaje chini ya Mzee Jomo Kenyatta ?I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
Alishasema anaogopa, tangu lini mtu mwoga akajitokezz kusema loloteKipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!
Ukiona hivyo jua hajapewa nafasi, na akionyesha uwezo watajitahidi kumshusha walioko juu.I don’t trust him. Sorry to say so, but God forbid the worst to ever happen, I don’t consider him a presidential material at all.
Kina umuhimu kama rais hafanyi siasa. Maana huyo ni msaidizi muhimu sana akitumika pasipo siasa.hiki cheo hakinaga maana kabisa nashauri kiondolewe awepo rais na waziri mkuu tu
mwacheni dr Mpango,mafisadi ni genge hatari,imagine Mwigulu eti waziri wa fedha?,aibu kwa taifa languKipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!
Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?
correct 100%Kina umuhimu kama rais hafanyi siasa. Maana huyo ni msaidizi muhimu sana akitumika pasipo siasa.
Magufuri alikuwa ameanda cabinet na bunge na maafisa mbali mbali wakutumika kutimiza lengo lake. Ndio maana alifanya kila umafya kuua upinzani na kuua wapinzani nchi ibaki na watu aliyowaanda kusema ndio kwa kila alichotaka ikiwa ni pamoja na kuextend muda wa kukaa madarakani kama alivyojifunza kwa Kagame na Mseven.....so kubaki na watu wa magufuri baada yake lazima uone gap la kiuongozi.....Dr. Mpango ni hewa ingine, awamu hii kwa upande wa viongozi tumekula hasara ya hatari!.
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Mada nyingine yaani..dah! Yaani VP yuko kimya ktk lipi lililopo chini ya majukumu yake?Kipindi cha misukosuko kama hiki natarajia kuona mchango wake lakini hadi sasa yupo kimya!
Najiuliza mfano imetokea ajali kama ilivyotokea. Je, unaona tunaye kiongozi hapo wa kushika usukani ama majanga mengine?