Atakuwa bado hajapona vizuri ule ugonjwa wake wa kupumua kwa 100% bila shaka.Mbona wameshajiunga wengi tu na waliokataa wakanyimwa ushindi anataka watu gani tena maana hata hao waliomo bungeni ni wenzao ndiyo maana hata kura hakuna iliyomkataa kwa hiyo asiwe na wasiwasi
Sio ccm, sema watanzania hawakai vyama vingi, kwa sababu tayari democrasia ilikuwepo kabla ya vyama vingi, ndio maana hata kwenye tume ya maoni ya mhe jaji Francis nyalali 1991/92, asilimia 80 walikataa vyama vingi, lkn kwa busara ya ccm wakasema acha tuvunje ile kanuni ya wengi wape, ccm ikaruhusu mfumo wa vyama vingi huku watanzania walio wengi walikataa,Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Hili ni wazo jema. Bora turudi kwenye mfumo wa chama kimoja badala ya huku kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa. Wakati ukifika na chama kikiridhika kuwa kuna uwezekano wa vyama vya upinzani makini basi kinaweza kurudisha mfumo wa vyama vingi. Sasa hivi tuungane katika chama kimoja tulijenge taifa letu.Yaani CCM hamtaki kabisa Demokrasia ya vyama vingi. Kwa wingi wenu bungeni hebu shaurini marekebisha ya Sheria, futeni vyama vingi
Makamu aagize Bunge liifanye Tanzania Nchi ya Chama kimojaMakamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Hana akili.Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa unyenyekevu niseme tu.....Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Usisahau mkuu, CCM ni CHAMA CHA MAZEZETAHana akili.
Upinzani sio majina.
Upinzani upo moyoni, huwezi kukubaliana na mtu huku wewe unapigika.
Yaani wana ikata 15% kindezi agu nianze kuwashangilia?
Wanan’gatwa nini
Sasa hao 25 ndio anaotaka wakajiunge CCM ili iweje?25
Chadema...... 20
ACT wazalendo...... 4
CUF......... 1
Maendeleo hayana vyama!
Hakuna kama mama!Wale waliokua wanampangia Rais Samia Suluhu Hassan cha kufanya nadhani tumeshaelewana🤣👍💪
Tanzania iko imara sana😍🇹🇿♥️
Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 🙏
Kiasi ganiNimeona Lisu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
eKwa unyenyekevu niseme tu.....
Wrong start....
Woote hatuwezi kuwa na mawazo yenye kufanana.
Vyama vya upinzani ni kama watch dog wangesikilizwa yoote haya yanayojiyokeza sasa hivi yasingetokea.
Meko alimharibu kuchukia wapinzani.Kwa unyenyekevu niseme tu.....
Wrong start....
Woote hatuwezi kuwa na mawazo yenye kufanana.
Vyama vya upinzani ni kama watch dog wangesikilizwa yoote haya yanayojiyokeza sasa hivi yasingetokea
Hamna shida. But he survived to tell the tale. And the accused for ordering or blessing or indicating the assassination attempt will not be able to follow the talk ya kilaza na mgonjwa wa akili. Mungu fundiLisu ni mgonjwa wa akili na kilaza mkubwa
Kama ameanza siasa za hivyo ameanza vibaya. Upinzani upo kwa kujibu wa katiba.Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Which tale have told you?Hamna shida. But he survived to tell the tale. And the accused for ordering or blessing or indicating the assassination attempt will not be able to follow the talk ya kilaza na mgonjwa wa akili. Mungu fundi
Vyama magumashi ambavyo mnaamini havina uwezo wa kuwanyang'anya madaraka hamvitaki halafu bila aibu unasema mtakubali vyama vya upinzani vyenye uwezo wa kuwanyang'anya madaraka? Sijui Watanzania mnawaonaje.
Amandla...
Wewe ni MACHAGA!Usisahau mkuu, CCM ni CHAMA CHA MAZEZETA
Hebu fikiria hawa Ufipa mwenyekiti yuko Dubai, makamu wake yuko Ubelgiji hapa kabakia J J Mnyika kwa hisani ya Nyalandu!Msipobadilika mkaacha kujenga vyama vya ulaji na kujenga vyama vyenye misingi imara kwa wananchi mtaendelea kulialia hadi mwisho wa dunia
Btw upinzani imara ni kitu kizuri sana kwa maslahi ya taifa
@mama D kumbe nawe nikiazi namna hii? Pole sanaBinamu tutakapokua na vyama vingi na vikawa vyama imara kweli CCM hawataonekana kuikataa demokrasia
Tatizo wanaojiita upinzani nao magumashi tuu
anasahau hata mitume na manabii walikuwa na wapinzani achilia mbali Mungu mwenyewe Ila snc yy analipwa mshahara na posho basi limtokalo kwake ni halaliMakamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!