pepsin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 3,480
- 6,162
Umemsikia rais Samia alivyo muumbua Mwendazake kwa uporaji wa wafanya biashara? Au CAG kwenye hasara ya ATCL tuliyoaminishwa na Mwendazake kuwa imetengeneza faida mpaka na gawio kutoa serikalini?? Mbona humwiti Rais Samia msaliti??Kwa hiyo wewe ni mwelewa? Umemsikiliza msaliti Lissu anavyoumbuliwa leo na Lumumba?
Anueni MATANGA, Tanzania ni ya watanzania wote