Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa Tanzania tuna vyama vya upinzani kweli?@mama D kumbe nawe nikiazi namna hii? Pole sana
@mama D kumbe nawe nikiazi namna hii? Pole sana
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Vyama vya upinzani visingekuwa imara marehemu Jiwe na CCM yake yote , polisi , tiss , tumeccm mngehangaika kupora uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mpaka kuua watu , kuteka , kufunga kubambikia kesi wapinzani ? Hivi nyinyi hamnaga hata aibu ?Binamu tutakapokua na vyama vingi na vikawa vyama imara kweli CCM hawataonekana kuikataa demokrasia
Tatizo wanaojiita upinzani nao magumashi tuu
Sasa Tanzania tuna vyama vya upinzani kweli?
Mawazo ya kijinga halafu upo upande wetu wa serikali, hivi tunatoaga wapi watetezi wa aina yako?Wale waliokua wanampangia Rais Samia Suluhu Hassan cha kufanya nadhani tumeshaelewana๐คฃ๐๐ช
Tanzania iko imara sana๐๐น๐ฟโฅ๏ธ
Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli ๐
Vyama vya upinzani visingekuwa imara marehemu Jiwe na CCM yake yote , polisi , tiss , tumeccm mngehanaika kupora uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu .
Nakumbuka Nccr ya Lyatonga Mrema!Acheni kutafuta excuse ya kushindwa! Chama kinapokua imara hakizuiliki Chief Kabikula.... sio police wala tume wanaweza zuia nguvu ya umma
Vipi yale maandamano baada ya uchaguzi uliyafanyia wapi?
Sasa Tanzania tuna vyama vya upinzani kweli?
Hivi kama hakuna vyama vya upinzani vinavyo kubalika na jamii ya Watanzania nini sababu hasa ya kupora kura na wizi?MtuHabari mimi sio kiazi kama wewe uliyeshindwa kujenga upinzani imara kwa nchi yako
Ukweli mchungu ni kwamba Wa kuitishia CCM hawajatokea bado
Acheni kuanzisha Sacco kwaajili ya matumbo yenu.... anzisheni vyama vya siasa wa maslahi ya umma wa Watanzania
Tanzania ndio ipo imara. Ila watu wa aina yako mna matatizo ya vita vya ushabiki wa kimakundi.
Kila serikali inachoongea hufanyi analysis bali unatafuta uhalali wa kuhalalisha ushindi wa mawazo yako ya makundi.
Mfano hujafikiri juu ya ujumbe wa upinzani na vita na wezi alioongea Dr. Vp, umekimbilia kushangilia sababu akili yako imetafsiri ushindi wa kundi lako. UJINGA MTUPU.
Bungeni wapo wabunge 25 tu wa upinzani. Kati ya hao 19 hawana maelewano mazuri na chama chao. Serikali ni ya CCM na imeundwa na watendaji wa CCM
Huwezi unda serikali ya watu wa chama chako kisha ukajiandaa kukamata wezi, NO. Jiandae kukuza ajira, mzunguko wa fedha, miundombinu, kukamilisha miradi etc sababu ulipaswa kuchagua watu waadilifu. Hakuna wapinzani.
Sasa wewe badala upambane kukishauri chama na serikali yetu namna ya kukuza ajira, biashara na mzunguko wa fedha maana ni watendaji wa ccm ndio wanaunda serikali 100% wewe unashangilia statement ya Dr Vp juu ya kukamata wezi ambao ni watu wa ccm waliochaguliwa na serikali yake.
Wizi hautakiwi kutegemewa maana chama kinatakiwa kichague watu waadilifu.
Nina matumaini sana na Mama Samia, amenza vizuri sana, Mpango si mtu wa makundi hivyo Hatutarajii mtindo wa uongozi wanaotegemea kundi lolote bali mwendelezo kufuata sera za chama na katiba ya nchi.
KILA LA HERI SAMIA.
Inasemekana mwaka 1909 Henry Ford aliwaambia wateja wa gari lake aina ya Model T kuwa wana uhuru wa kuchagua gari la rangi yeyote wanayoipenda ili mradi iwe nyeusi.Msipobadilika mkaacha kujenga vyama vya ulaji na kujenga vyama vyenye misingi imara kwa wananchi mtaendelea kulialia hadi mwisho wa dunia
Btw upinzani imara ni kitu kizuri sana kwa maslahi ya taifa
Hivi kama hakuna vyama vya upinzani vinavyo kubalika na jamii ya Watanzania nini sababu hasa ya kupora kura na wizi?
Kwa nini kutumia NEC na Polisi kupata ushindi badala ya kura? Kama unaishi Tanzania na hayo yanayotokea kwenye uchaguzi huyaoni kwa nini usiitwe KIAZI? tena mbatata kabisa.
Hivi ukiangalia bunge lililopita na hili ambalo hakuna wabunge (wa ukweli wa Chadema) hamuoni tofauti?
Mbona Covid 19 ni wako CCM kitamboLilikuwa ombi maalum kwa covid 19 na wale wachache walioshinda ikiwemo yule Aida
Ujinga uleule unaendeleza. Hatuna upinzani wa vyama vya siasa serikalini kwa sasa na hilo mm sililalamikii. Nakushangaa Sijui kwann unawaongelea wapinzani kama key point wakati hawapo serikalini ni marehemu.Umeandika saana lakini kitu kimoja tuu uelewe kwamba kujenga chama imara sio lelemama
Unalalamika kuhusu idadi ndogo ya wapinzani bungeni..... sasa kama ndio walipata nafasi ulitakaje? Au kwa sababu kuna upinzani lazima bungeni wawepo wengi hata kama hawajakidhi vigezo?
Upinzani walikaa vizuri sana miaka 2010 lakini walijimaliza wenyewe 2021 kwasabu ya tamaa zao binafsi. Na sasa ndio wamejichimbia kaburi kabisaaaa
Kabla ya kuilaumu CCM tuongee ukweli kuhusu upinzani
CivicsNadhani hujui tofauti ya nchi na serekali.Civic form 2.