chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Huyu kaanza vibaya anakuwa na mawazo mfu kama mungu yule asiyeishi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kujenga nchi mpaka uwe Mbunge? Kwani hawawezi teuliwa sehemu nyingine kama Mama Mngwira, DC Nanyumbu, DC Tunduru n.kKwani wapinzani walifanikiwa kupata wabunge!!!?
Mi nachojua bungeni ni Ccm tu.
Kwani kuna bunge tena?
Dr Mpango kama wewe ni mcha Mungu kweli tuambie ndani ya roho yako kama uliopita Ubunge wako kihalali na Mungu anakuona kwenye kaulia yako hii.Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Lakini ndio wanaokuongoza hao.. Ili ujue uzezeta wao nenda ofisi yoyote ya CCM atamke hayo maneno uone utaingizwa nini kwenye shimo lako linalotoa uchafuUsisahau mkuu, CCM ni CHAMA CHA MAZEZETA
Yule hafai anakiburi snKwa mtazamo huu Dr. Mpango anapotea. Propoganda kama hizi awaachie akina Polepole. Yeye kama msomi anatakiwa kujua kuwa si lazima mtu uwe CCM ndo ujenge taifa. Mtazamo mpotofu kama huu pia alikwa nao marehemu Magufuli. On that point Dr Mpango umenifadhaisha!
Aliumwa sana mpango karibia azikwe, akufe kabla ya Magufuli kufa.Kwani wapinzani walifanikiwa kupata wabunge!!!?
Mi nachojua bungeni ni Ccm tu.
MATAGA mmepoteana.Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Nadhani covid 19 ndio wamepoteana bwashee!MATAGA mmepoteana.
Makamu wa Rais mteule jana amekiri kuwa nchi yetu ina maskini wa kutupwa takriban milioni 14. Hii ni baada ya chama chake kushika usukani toka tupate uhuru bila kupokezana na chama kingine. Miaka 60 ya bajeti zao kupita bila kupingwa, matokeo yake ni asilimia 20 ya raia wa nchi yetu wanaishi duni ya umaskini uliopitiliza! Na katika miaka hiyo, yeye alikuwa ndie msimamizi na mshauri Mkuu wa Rais kuhusu masuala ya uchumi kwa miaka 6 ( 10% ya miaka ya uhuru wetu). Inasikitisha sana.Kwa hiyo hao ndio wanakwamisha maendeleo? Anataka kuanza vibaya. aache mawenge mawenge ya Jiwe. yeye afanye kazi na wote. Heshimuni kanuni ya dunia kwamba daima kuna nguvu mbili zinazovutana na ndizo hutufanya tutembee, tusonge mbele.
Yeye ni msomi wa uchumi, anajua kabisa kwamba maendeleo yoyote ni matokeo ya ushindani. Kwenye mji tukiwa na duka moja tu hakuna maendeleo. Tutapanga foleni hadi kuchelewa kazi za nyumbani, shambani na ofisini.
Hivi ni utafiti gani uliowahi kufanywa ukaonyesha kwamba nchi ya chama kimoja hupinga hatua kubwa ya maendeleo kuliko nchi ya mfumo wa vyama vingi? Mbona mnakuwa wasomi halafu bado ni wajinga?
Ni ujinga kufikiri kuwa maendeleo ya nchi hii yanakwamishwa na wapinzani. Ni ujinga wa kutosha tena sana! Nchi za Marekani, Uingereza, Ujerumani ni nchi tajiri na zina vyama vingi. Mbona hawalalamiki kukwamishwa na mfumo wa vyama vingi?Makamu wa Rais mteule jana amekiri kuwa nchi yetu ina maskini wa kutupwa takriban milioni 14. Hii ni baada ya chama chake kushika usukani toka tupate uhuru bila kupokezana na chama kingine. Miaka 60 ya bajeti zao kupita bila kupingwa, matokeo yake ni asilimia 20 ya raia wa nchi yetu wanaishi duni ya umaskini uliopitiliza! Na katika miaka hiyo, yeye alikuwa ndie msimamizi na mshauri Mkuu wa Rais kuhusu masuala ya uchumi kwa miaka 6 ( 10% ya miaka ya uhuru wetu). Inasikitisha sana.
Amandla...
Mbona Chadema ina mbunge mmoja tu, anazungumzia nini wale COVID19 wa Ndugai!Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Chadema ina wabunge 20!Mbona Chadema ina mbunge mmoja tu, anazungumzia nini wale COVID19 wa Ndugai!
Lisu hataki kuwa mnafiki. Anasumamia yale yote aliyoyasema hayati akiwa hai. Ulitaka kwa sababu hayati hatunaye tena amsifu ?Nimeona Lissu leo amejipanga kuchafua nchi .
Yani Mkenya PLO Lumumba amejipanga kuitetea Tanzania lakini mzaliwa wa Singida Tundu Lisu anajipanga kuchafua.
Ni aibu kubwa kwa taifa letu
Lisu ni makamu mwenyekiti hewa wa Chadema mnalipa mshahara wa bure.
Kwani Chadema wana wabunge? Ninavyojua mimi wale wa chadema 19 walifukuzwa, sasa sijui ni wa chama gani.Makamu wa Rais Dkt. Mpango amesema wabunge wa upande wa pili akimaanisha Chadema ACT wazalendo na CUF ni vema wakajiunga na CCM ili kwa pamoja tuijenge mama Tanzania.
Dkt. Mpango amewashauri wabunge hao kwamba kama kuna ugumu wa wao kuhamia CCM basi wawe hata wanajenga hoja zenye kuleta maslahi ya kimaendeleo kwa mama Tanzania na siyo vinginevyo.
Chanzo: TBC.
Maendeleo hayana vyama!
Aliwafukuza nani?Kwani Chadema wana wabunge? Ninavyojua mimi wale wa chadema 19 walifukuzwa, sasa sijui ni wa chama gani.
Lissu hanaga habari mpya afadhali hata Maria sarungi!