Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Wabunge wa upande wa pili (CHADEMA, ACT na CUF) ni vema mkajiunga CCM ili kwa pamoja tujenge nchi

Kwa hiyo CCM imekosa wa kuitetea imekodi Mkenya?
 
Naunga mkono hoja
 
Mpango as he is; a political novice. Nani alimwambia maendeleo ni kusema ndio pekee Bungeni?
 
Leo hujatumia akili, hata Mungu alimtengeneza shetani, hakuwa mjinga
 
ule ni mdahalo. VOA hawakuandika kuchafua nchi
 
Wale waliokua wanampangia Rais Samia Suluhu Hassan cha kufanya nadhani tumeshaelewana🤣👍💪

Tanzania iko imara sana😍🇹🇿♥️

Alale salama kipenzi chetu John Pombe Magufuli 🙏
Hujawahi kumwita mmeo kipenz leo unamshobokea mume wa mama janeth tena marehemu.
 
Lissu hanaga habari mpya afadhali hata Maria sarungi!
Akili yako tangu tupate msiba haijatulia John! Kwa hiyo kwa sasa chochote utachooanzisha, na umeanzisha nyuzi nyingi, tunakangalia tu, tunasema hiiiiii! Ila Mungu ni mkubwa, utapona tu!
 
CCM mtapata aibu kabla ya 2025. Na kabla ya 2025 tutafanya uchaguzi mkuu. Walio hai watashuhudia hali itakavyokua mbaya ndani ya nchi hii.Hifadhini haya.
 
Is it only me or someone feels Dr.Mpango is sick every time he speaks.
It's like the old man is cold always!
 
Kifo ni haki ya kila kiumbe chenye uhai, ukiwemo wewe na mimi. Kumwita Lissu msaliti ni kupungua uelewa wa maana halisi ya neno usaliti. Ni sababu ya ulaghai wa MATAGA wakihanikisha ufinyu wa uelewa na ujazo wa ujinga vichwani mwao. Uwasamehe
Kwa hiyo wewe ni mwelewa? Umemsikiliza msaliti Lissu anavyoumbuliwa leo na Lumumba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…